Saudi Arabia wafanya mashindano ya urembo kwa ngamia

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Kote duniani kumezoeleka mashindano ya urembo ya binadamu, ila amini usiamini nchini Saudi Arabia, kwa sasa kunafanyika mashindano ya urembo ya mnyama anayependwa sana nchini humo, ngamia.

Mnaijadili na kuipiga kejeli saudi Arabia nchi ambayo haiombi hata chumvi kwenu,nchi ambayo resources moja walionayo wameitumia kujitoa katika umaskini,ila nyie wenye resources lukuki ni mabingwa wa kuwakejeli wenzenu kuliko kutumia resources mlizonazo
Islamophobia
Kuwaza kwa kutumia fuvu na sio kichwa
 
Usijitoe kaka tupo pamoja kwenye yooote hayo uliyoandika
 
Mnaijadili na kuipiga kejeli saudi Arabia nchi ambayo haiombi hata chumvi kwenu,nchi ambayo resources moja walionayo wameitumia kujitoa katika umaskini,ila nyie wenye resources lukuki ni mabingwa wa kuwakejeli wenzenu kuliko kutumia resources mlizonazo
Islamophobia
Kuwaza kwa kutumia fuvu na sio kichwa
mawewe ni msaudia???
 
Sasa watu wenye akili kama hii wataweza shindana na mwisrael /myahudi kwa innovation?Watasubiri sana!
 
Hawa jamaa itakuwa wanawatafuna hao ngamia. Sio kwa upompo huu!
Wanaamin kuwa huyu ni mnyama sacred ila nawashauri wakaokoe hili janga la Australia

Back
Top Bottom