dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,109
- 49,350
Mohamed Bin Salman - the Crown Prince of Saudia. Yaani uzima wa baba yake ndio unaomkawiza kuwa full King.Muslim Based State au nimeingia chaka?
Mohamed Bin Salman - the Crown Prince of Saudia. Yaani uzima wa baba yake ndio unaomkawiza kuwa full King.Muslim Based State au nimeingia chaka?
Dems wanataka Saudi apigwe sanctionsKokuyo shughuli inakuja kwenye system yao Wamarekani. Kama unavyoelewa Trump peke yake sio wa kuamua kila kitu.
Si unaona Rubio na Flake are already out on this. Wa upande wake hawa.
Sija fatilia kuona Dems wanasemaje, na jinsi ambavyo they're trying to fight him..
Kuna zengwe MBS analiandaa kuwa Iran na Doha wapo nyuma ya hili sakata la mauaji ili kuichafua Saudia.Iran anahusikaje hapo kwenye sakata hili??
Richard ze kokuyo Elungata dudus Nyanjomigire
Prince kala kibano cha kutosha nini!, mpaka ana admit?!
Interrogation gone wrong ndo wakaamua kum chop up!..
Ahsante mkuuMohamed Bin Salman - the Crown Prince of Saudia. Yaani uzima wa baba yake ndio unaomkawiza kuwa full King.
Kama wakumbuka uzuri nilisema kwenye post namba 16 kwamba watatafuta "a compromise ground" na yataisha.
"Compromise ground" ndo hiyo imepatikana na Riyadh wamesema kwamba amefariki kwa bahati mbaya akifanyiwa mahojiano huku akiteswa.
Baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida huyo mchumba wake atahudumiwa kila kitu kuanzia fedha hadi nyumba ya kuishi uhamishoni na familia yote ya Khashoggi itahudumiwa hadi uzeeni.
Hivyo ndivyo mataifa haya yanavyoweza kukuonyesha unafiki wao wa hali ya juu yaani "hypocrisy of highest quality"
undefinedtabu iko kwa Trump iwapo congress wataamua kuiwekea vikwazo saud,halafu inaweza kuwa scandal kipibdi cha uchaguzi wa midterm,inataka akili mingi kusolve hii ishuHalafu Prince ata come out clean.

waliomteka jamaa walionekana kwenye cctv toka walipoingia kutoka uwanja wandege wa uturuki kwa kutumia ndege binafsi mpka wanapoingia kwenye ubalozi wa saudia alipokua ameenda kashhogi kuomba ridhaa ya kumuoa mchumba ake aliyekuwepo nje ya ubalozi huo akimsubiri na waliofanaya huo unyama ni moja ya maafisa wa juu wa idara ya usalama ya saudii HAPO SIJUI WAMVIKA MZIGO NANIHuku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
Inaonekana yule bwana baada ya kuuwawa kile chumba walimomuulia wamekutamo traces za chemicals fulani ambazo inaonekana zilitumika kufanyia usafi ili kuficha ushahidi.
Pia inaacha maswali mengi ni kwa nini kwenye msafara wa Wasaudia waliosafiri kutoka Riadh kwenda Istanbul kati ya wale watu 15 miongoni mwao kulikuwa na An Autopsy Expert, Why......!!!
Sasa kwa kuwa Wasaudia na utawala wao unaojinasibisha na ucha Mungu sasa wanakiri wazi kuwa ni kweli Khashoggi ameuawa sasa kinachofuata ni kutaka kujua ukweli juu ya nani wamemuua na mwili wake uko wapi.
Utawala wa Saudia inabidi wawe wapole kwani ubingwa hapa hauna nafasi wala kuwa na close business ties with Trump will not be a Panacea.
Tayari Congress wanajipanga kuhakikisha kuwa wahusika wanabainishwa na sheria inachukua mkondo wake. Congress sio Rubber Stamp kama lilivyo hili bunge la akina Ndugai kwani wanadai wakiachia wataweka A bad Precedent ambayo inaweza ikatumiwa na taifa lolote la kibabe na kufanya tena uhalifu kama huu na vile vile role of the US as the defender of human rights will be terribly compromised.

Vita huwaongezea wamarekani utajir, So Saudia wakiingia kwenye vita basi mmarekani atatajirika zaidi.Nalendwa,
Hakuna chochote kinachoweza kufanywa kwa Saudi Arabia, sanasana watatafuta "a compromise ground" na yataishia hapohapo..
Mtu kashikilia mafuta ya kuyasambaza dunia nzima, halafu unamwambia nini?
Isitoshe Marekani itabidi afikirie mauzo yake ya silaha kiasi kwamba ni vigumu kusimamisha fedha za malipo ya silaha hizo kutoka kwa hawa waraabu.
Hivyo wazo la kuwawekea vikwazo ni gumu kulitekeleza.
Sidhani kama huyu mfalme atakuwa hajui hii issue, huu mpango ulisukwa mahususi na mwanaye make marehemu Jamal Khashoggi amekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia.Na pia, the lead officer of the Interrogation ameonekana kuwa close to the inner circle of MBS.
So there's no way the Prince is too far from the Truth.
Lakini najiuliza, King Salman hana sauti kabisa katika hili?!
It seems the original plan of the killers was to ship the slain body of the late Khashoggi to Saudi Arabia after embalment hence the inclusion of an Autopsy Expert in the itinerary.An Autopsy Expert kwenye msafara?!
Then they claim, "an interrogation that was intended to lead to his abduction from Turkey.."