Saudi Arabia Vs The World

Kokuyo shughuli inakuja kwenye system yao Wamarekani. Kama unavyoelewa Trump peke yake sio wa kuamua kila kitu.
Si unaona Rubio na Flake are already out on this. Wa upande wake hawa.
Sija fatilia kuona Dems wanasemaje, na jinsi ambavyo they're trying to fight him..
Dems wanataka Saudi apigwe sanctions
 
Inaonekana yule bwana baada ya kuuwawa kile chumba walimomuulia wamekutamo traces za chemicals fulani ambazo inaonekana zilitumika kufanyia usafi ili kuficha ushahidi.

Pia inaacha maswali mengi ni kwa nini kwenye msafara wa Wasaudia waliosafiri kutoka Riadh kwenda Istanbul kati ya wale watu 15 miongoni mwao kulikuwa na An Autopsy Expert, Why......!!!

Sasa kwa kuwa Wasaudia na utawala wao unaojinasibisha na ucha Mungu sasa wanakiri wazi kuwa ni kweli Khashoggi ameuawa sasa kinachofuata ni kutaka kujua ukweli juu ya nani wamemuua na mwili wake uko wapi.

Utawala wa Saudia inabidi wawe wapole kwani ubingwa hapa hauna nafasi wala kuwa na close business ties with Trump will not be a Panacea.

Tayari Congress wanajipanga kuhakikisha kuwa wahusika wanabainishwa na sheria inachukua mkondo wake. Congress sio Rubber Stamp kama lilivyo hili bunge la akina Ndugai kwani wanadai wakiachia wataweka A bad Precedent ambayo inaweza ikatumiwa na taifa lolote la kibabe na kufanya tena uhalifu kama huu na vile vile role of the US as the defender of human rights will be terribly compromised.
 
Richard ze kokuyo Elungata dudus Nyanjomigire

Prince kala kibano cha kutosha nini!, mpaka ana admit?!
Interrogation gone wrong ndo wakaamua kum chop up!..

Kama wakumbuka uzuri nilisema kwenye post namba 16 kwamba watatafuta "a compromise ground" na yataisha.

"Compromise ground" ndo hiyo imepatikana na Riyadh wamesema kwamba amefariki kwa bahati mbaya akifanyiwa mahojiano huku akiteswa.

Baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida huyo mchumba wake atahudumiwa kila kitu kuanzia fedha hadi nyumba ya kuishi uhamishoni na familia yote ya Khashoggi itahudumiwa hadi uzeeni.

Hivyo ndivyo mataifa haya yanavyoweza kukuonyesha unafiki wao wa hali ya juu yaani "hypocrisy of highest quality"
 
Write your reply...balozi wa saud nchini Uturuki kishasepa kurudi kwao baada ya UN kutaka aondolewe kinga ya kidplomasia
 
Write your reply...kashorgi anatoka family ya kitajiri nae na alikuwa miongoni mwa inner circle ya utawala,akiwa mpambe wa crown prince Mohamed Nayev ambae alivuliwa cheo hicho na kupewa mwana wa mfalme MBS,
Mohamed Nayev ndo alikuwa king mtarajiwa,kitendo cha kuvuliwa ucrown prince na kuweka kifungo cha nyumbani,wapambe wake kama huyu kashorgi akakimbilia marekani na akawa critics wa utawala wa MBS.
No wonder walipomtia mikononi walihakikisha anapotea kabisa kwa kucharangwa vipande vipande
 
Kama wakumbuka uzuri nilisema kwenye post namba 16 kwamba watatafuta "a compromise ground" na yataisha.

"Compromise ground" ndo hiyo imepatikana na Riyadh wamesema kwamba amefariki kwa bahati mbaya akifanyiwa mahojiano huku akiteswa.

Baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida huyo mchumba wake atahudumiwa kila kitu kuanzia fedha hadi nyumba ya kuishi uhamishoni na familia yote ya Khashoggi itahudumiwa hadi uzeeni.

Hivyo ndivyo mataifa haya yanavyoweza kukuonyesha unafiki wao wa hali ya juu yaani "hypocrisy of highest quality"

Halafu Prince ata come out clean.
 
Huku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
waliomteka jamaa walionekana kwenye cctv toka walipoingia kutoka uwanja wandege wa uturuki kwa kutumia ndege binafsi mpka wanapoingia kwenye ubalozi wa saudia alipokua ameenda kashhogi kuomba ridhaa ya kumuoa mchumba ake aliyekuwepo nje ya ubalozi huo akimsubiri na waliofanaya huo unyama ni moja ya maafisa wa juu wa idara ya usalama ya saudii HAPO SIJUI WAMVIKA MZIGO NANI
 
Inaonekana yule bwana baada ya kuuwawa kile chumba walimomuulia wamekutamo traces za chemicals fulani ambazo inaonekana zilitumika kufanyia usafi ili kuficha ushahidi.

Pia inaacha maswali mengi ni kwa nini kwenye msafara wa Wasaudia waliosafiri kutoka Riadh kwenda Istanbul kati ya wale watu 15 miongoni mwao kulikuwa na An Autopsy Expert, Why......!!!

Sasa kwa kuwa Wasaudia na utawala wao unaojinasibisha na ucha Mungu sasa wanakiri wazi kuwa ni kweli Khashoggi ameuawa sasa kinachofuata ni kutaka kujua ukweli juu ya nani wamemuua na mwili wake uko wapi.

Utawala wa Saudia inabidi wawe wapole kwani ubingwa hapa hauna nafasi wala kuwa na close business ties with Trump will not be a Panacea.

Tayari Congress wanajipanga kuhakikisha kuwa wahusika wanabainishwa na sheria inachukua mkondo wake. Congress sio Rubber Stamp kama lilivyo hili bunge la akina Ndugai kwani wanadai wakiachia wataweka A bad Precedent ambayo inaweza ikatumiwa na taifa lolote la kibabe na kufanya tena uhalifu kama huu na vile vile role of the US as the defender of human rights will be terribly compromised.

An Autopsy Expert kwenye msafara?!

Then they claim, "an interrogation that was intended to lead to his abduction from Turkey.."
 
Sakata ama ndo linaanza, au linaendelea..

Sen. Lindsey Graham said Tuesday on Fox News that he wants to see Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman forced out of his position after the mysterious disappearance of activist Jamal Khashoggi.

“This guy has got to go,” Graham, R-S.C., said on “Fox and Friends.” “Saudi Arabia, if you’re listening: There are a lot of good people you can choose, but MBS has tainted your country and tainted himself.”
He added, “The MBS figure is, to me, toxic. He can never be a world leader on the world stage.”
 
Inaonekana yule bwana baada ya kuuwawa kile chumba walimomuulia wamekutamo traces za chemicals fulani ambazo inaonekana zilitumika kufanyia usafi ili kuficha ushahidi.
Pia inaacha maswali mengi ni kwa nini kwenye msafara wa Wasaudia waliosafiri kutoka Riadh kwenda Istanbul kati ya wale watu 15 miongoni mwao kulikuwa na An Autopsy Expert, Why......!!!
Sasa kwa kuwa Wasaudia na utawala wao unaojinasibisha na ucha Mungu sasa wanakiri wazi kuwa ni kweli Khashoggi ameuawa sasa kinachofuata ni kutaka kujua ukweli juu ya nani wamemuua na mwili wake uko wapi.
Utawala wa Saudia inabidi wawe wapole kwani ubingwa hapa hauna nafasi wala kuwa na close business ties with Trump will not be a Panacea.
Tayari Congress wanajipanga kuhakikisha kuwa wahusika wanabainishwa na sheria inachukua mkondo wake. Congress sio Rubber Stamp kama lilivyo hili bunge la akina Ndugai kwani wanadai wakiachia wataweka A bad Precedent ambayo inaweza ikatumiwa na taifa lolote la kibabe na kufanya tena uhalifu kama huu na vile vile role of the US as the defender of human rights will be terribly compromised.

Na pia, the lead officer of the Interrogation ameonekana kuwa close to the inner circle of MBS.
So there's no way the Prince is too far from the Truth.

Lakini najiuliza, King Salman hana sauti kabisa katika hili?!
 
Nalendwa,

Hakuna chochote kinachoweza kufanywa kwa Saudi Arabia, sanasana watatafuta "a compromise ground" na yataishia hapohapo..

Mtu kashikilia mafuta ya kuyasambaza dunia nzima, halafu unamwambia nini?

Isitoshe Marekani itabidi afikirie mauzo yake ya silaha kiasi kwamba ni vigumu kusimamisha fedha za malipo ya silaha hizo kutoka kwa hawa waraabu.

Hivyo wazo la kuwawekea vikwazo ni gumu kulitekeleza.
Vita huwaongezea wamarekani utajir, So Saudia wakiingia kwenye vita basi mmarekani atatajirika zaidi.
Hofu ya marekani saudia ni uwezekano wa regime nyingine kuingia na kulinda maslahi yake kivyovyote kama wafalme wa saudia wa sasa.
Wale wafalme ni wamarekani waarabu, wanakubali kila kitu cha mmarekani n israel
 
Halafu hawa Saudi wana hoja nyepesi sana kujitoa katika hili. Mazingira yote yameonesha kuwa wanahusika. Halafu baba lao anakuja ku tweet eti may be rogue killers. Hivi rogue killers wanawezaje kuingia ubalozini na kufanya mauaji. Huyu baba lao kishalevya na hawa warabu.
 
Na pia, the lead officer of the Interrogation ameonekana kuwa close to the inner circle of MBS.
So there's no way the Prince is too far from the Truth.

Lakini najiuliza, King Salman hana sauti kabisa katika hili?!
Sidhani kama huyu mfalme atakuwa hajui hii issue, huu mpango ulisukwa mahususi na mwanaye make marehemu Jamal Khashoggi amekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia.
 
An Autopsy Expert kwenye msafara?!

Then they claim, "an interrogation that was intended to lead to his abduction from Turkey.."
It seems the original plan of the killers was to ship the slain body of the late Khashoggi to Saudi Arabia after embalment hence the inclusion of an Autopsy Expert in the itinerary.

It's likely when the body of the deceased proved bulky for shipping, it's when they resolved to dismember it so as to ease the shipping.
 
Back
Top Bottom