As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,538
- 2,526
Asalam Alaykum warahamatullah wabarakatuh kwa wale ndugu zetu ambao wanafuata muandamo wa Kimataifa siku ya kesho InshaAllah tutaswali Eid El Fitr
Hii ni kutokana na kutangazwa kwa muonekano wa mwezi nchini Saudia Arabia vile vile Uturuki na United Arab Emirates nao wametangaza kuwa kesho Siku ya Jumanne Tarehe 4/6/2019 watasherekea sikuku ya Idd
Tutaendelea kuleta update za nchi nyingine zitakazo swali kesho