Saudi Arabia, Uturuki, kuswali Iddi Jumanne Juni 4, 2019

Bakwata Wanasema Nini
Usiichonganishe Bakwata Na Wananchi
BAKWATA wanajulikana wanaofata serikali sio din.
Km Mufti kachaguliwa na Magufuli usidhan atafata tunavyotaka kina Muhammad bali ataifata hyo serikali yake
 
Turudi nyuma kidogo , hivi kuna mkubwa katika serikali ya Tanzania ambae ni ANSWAR SUNA?
Au kuna kiongozi au tajiri Tanzania au mtu yoyote maarufu au mwanamuziki su miss Tanzania ambae sio mshabiki wa BAKWATA
 
Kwa wakazi wa Dar es Salaam wanaweza kwenda Katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Banjamin Mkapa swala itasimama hapo saa moja Asubuhi

Vilevile katika Viwanja vya shule ya Sekondari Mavurunza kimara korogwe


EID MUBARAK
Kwa nn mkaswali kwenye shule ya serikali iliyojengwa kwa kodi za wananchi wote wa Dar?
Pale upande wa pili kuna shule yenu ya al haramain si mkaswali huko?
 
Serikali ya tanzania imekataza watu kusali iddi mwanzo kwa kufuata kauli ya mwezi wa popote au serikali imempa mtu uhuru wa kuabudu mkuu?
Swali lako nalijibu kwa swali: Marejeo yako kwenye huu muktadha ni yapi? Ni uhuru wa kuabudu unaopewa na serikali ya Tanzania au ni marejeo ya Wana wazuoni wa Kiislamu ambao ni warithi wa Mitume?
 
Kwa waliodoma Qur'an na kuielewa VIZURI nasisitiza neno VIZURI. Eid el fitr ni tarehe 5 na 6 yaani jumatano na alhamis kwa wachagga wanaweza kuongeza ijumaa, jumamosi wakarudi mjini j2.
Hapa si kweli bali kama ni muelewa hasa idd haswa ni kesho
 
Kwaiyo wanaitaje mfungo siku 30 wakat azifiki au watu wamemiss ushetani pombe na vimada vyao tu tumalize mfungo alafu zile 6 mashhek tuzipitishe ziwe za wote tu mana wengine wanatua hasira
 
Swali lako nalijibu kwa swali: Marejeo yako kwenye huu muktadha ni yapi? Ni uhuru wa kuabudu unaopewa na serikali ya Tanzania au ni marejeo ya Wana wazuoni wa Kiislamu ambao ni warithi wa Mitume?
Marejro katika Qurani na sunna.lakini pia nilitaka nikuambie kwamba licha ya kuwa kufuata mwezi wa popote ni kauli ambayo ipo katika sheria ya kiislamu na kuna wanachuoni wamezungumza hilo basi pia sheria ya nchi haihesabu kama ni kosa la jinai kusali iddi.

Lengo ni kumsahihisha huyo ndugu anaesema kwamba ingekuwa saudia basi salafy waliotangulia wangepewa adhabu za kinidhamu.

Ahuko saudia wameshajiwekea kwamba wao wanaangalia nchi yao tu manake ni taratibu rasmi ambayo hata mfalme naye amenaaifahamu na wamekubaliana kwa dola na wanachi wake na wanazuoni wake.

Lakini licha ya kukubaliana kwako basi hakuna katika sheria ya kiislamu kwamba watu watakaofungua mapema katika mji eti waadhibiwe ,labda iwe Dola imeweka msimamo maalum alafu watu wakakengeuka.

Hii serikali ya tanzania ina msimamo gani kuhusu mwezi?

Inawachukulia vipi kisheria wale waliotangulia ?
 
Back
Top Bottom