Saudi Arabia, Uturuki, kuswali Iddi Jumanne Juni 4, 2019

Waleykumussalam.
Naomba radhi muda wangu ni mchache. Baadae inshaallah nitarudi ili tuweze kuongezeana maarifa ya hapa na pale.

Bila shaka Iddie kwako imekuwajibikia leo, Eid Mubarakah! Hammaz ni miongoni mwa waliyofunga leo. Kila la khayr akhy.

Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh.
 
Sikukuu yenyewe kasiku kamoja tu, hafu kanawekwa katikati ya week hata hakanogi, Siku nyingine mfanye ijumaa au jumatatu, angalu tuonekane tumepumzika siku tatu bana.
 
Back
Top Bottom