Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,180
- 1,276
Sheria kila siku Saudi Arabia zinazidi kubadilika ninazozikumbuka ni ile ya wanawake kuendesha magari, wanawake kwenda kutazama mpira uwanjani, juzi pambano la Joshua na Ruiz limefanyikia kule leo wanabadili sheria iliyokataza wanawake na wanaume kutumia milango tofauti kwenye mgahawa.
Yule mama tunaomba aje atoe ufafanuzi kidogo hapa.
Tutaelewana kidogo kidogo wacha tuonyeshane makali.
Yule mama tunaomba aje atoe ufafanuzi kidogo hapa.
Tutaelewana kidogo kidogo wacha tuonyeshane makali.