kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Hili taifa sijapata kuona toka nizaliwe
Hili ndo mfadhili mkuu wa magaidi wa misimamo mikali kama ISIS na Al qaeda
Hata marekani wanalijua hilo
Waarab kama wana nia ya kupambana na ugaidi wangeanza na Saudia ambaye ndo kinara wa ugaidi
Ndugu zangu tusisahau misimamo mikali ya kiwahabi mwasisi na Saudi arabia ya nini tufiche
Saudi arabia ilipaswa kushughulikiwa tena sana
Qatar anafadhili some activists kama Muslim brotherhood ambao Saudi arabia wanaona kama tishio kwani ni vuguvugu linalotaka mifumo ya kidemokrasia mashariki ya kati
Kabla ya kushughulika na Qatar nadhani waanze na Saudi arabia