Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

waarabu ni wakina bashite wengine tu wanagombanishwa kirahisiiii alafu eti wamefunga lol
 
Sitemi angalia madudu yanayotekea nchi za kiarabu na yanayotokea afrika!!
Africa tuna afadhali na tutatoka maana tumesha amka! Wao ni IMANI, nakwambia cheza na kitu chochote lakini sio IMANI ya binadamu! WANAJILIPUA EACH AND EVERY DAY BECAUSE OF FAITH! Come on femus kuwa mkweli kwenye hili! Mwafrica na mwarabu ni vitu viwili tofauti kabisa!
 
Ni kweli kabisa ila hawakusema umra wamesema hija na hija kwa mujibu wa mafundisho ina nyakati zake maalum
Hajj ni ya lazima angalau mara moja kwa kila muislam mwenye uwezo na umra siyo ya lazima hufanyika muda wowote. Nadhani tumeelewana.
 
Saudia ni kibaraka wa marekani, kama wanawaruhusu makafiri wa kishia kwenda kuhiji alafu wanawakataza ndugu zao wa Qatar kisa tu wanaunga mkono makundi ya kigaidi ni upotofu uliomkubwa sana na watakuwa na dhima ya kujibu mbele za Allah. Hii ni dini na sio siasa
Heeee leo Shia ni kafiri?? Sasa nyie katika Imani yenu makafiri wapo wangapi?
 
Saudia ni kibaraka wa marekani, kama wanawaruhusu makafiri wa kishia kwenda kuhiji alafu wanawakataza ndugu zao wa Qatar kisa tu wanaunga mkono makundi ya kigaidi ni upotofu uliomkubwa sana na watakuwa na dhima ya kujibu mbele za Allah. Hii ni dini na sio siasa
Ww una matatizo leo kwako washia ni makafiri nyinyi ndo mnaleta mikwaruzano ya kidin kwa kujiona Allah ni shemeji yenu
 
Hivi kama waarabu ndiyo wanatumika kama mfano wa kuwaelezea waislamu walivyo je,ni jamii gani itatumika kama mfano wa kuwaelezea wakristo?
 
Waislamu bongo Kama vipi tuandamane Makka tuihamishie Unguja maana jamaa naona Kama hawajitambui.
 
Quran imepotoshwa na abubakar mzee wa vita ndo maana tanzania tuna quran yetu tofaut na ya iran hata saud naye anaquran yake tofaut na ile wanayotumia marekan, kwa kifupi kila nchi wanaquran yao ile wanayotumia kwa malkia imeandikwa na shoga
Ujinga mzigo
 
Hivi kama waarabu ndiyo wanatumika kama mfano wa kuwaelezea waislamu walivyo je,ni jamii gani itatumika kama mfano wa kuwaelezea wakristo?
Waarab ni minority ktk uislam na ktk nchi tano zenye waislam wengi hakuna nchi ya kiarabu
 
Kuna waislam wanaitwa ahlul takfir,wana misimamo ya kutaka tafsiri yao kuhusu uislam ndio tafsir sahihi, na kila asiekubaliana nao ni kafiri,wanahitaji kuelimishwa na ni bahati mbaya sana,hawana uvumilivu kama mtume Muhammad saw alivotufundisha,na ni bahati mbaya madhehebu yamezaa alqaeda,Isis/isil na wengineo na wrote wanatoka sunni ,wahabi/salafi, kwanini?
 
Back
Top Bottom