Saudi Arabia aendelea na uzalishaji baada ya mazungumzo ya OPEC kushindikana

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,344
5,219
-
20200414_213439.jpg

WhatsApp group for OIL Traders Only!

WTI/BRENT

Join Via Link Oil Traders🛢️
 
Hapa iko kazi maanake Saudi Arabia Lifeblood ya uchumi wake ni mafuta tu hana kingine anachotegemea, nafuu Russia wanaweza wakauza hata silaha.

Itakuwa vigumu sana kwao kufikia muafaka wa Production Quotas kwa sababu hali ni ngumu na kila moja ana shida na pesa.
 
Hapa iko kazi maanake Saudi Arabia Lifeblood ya uchumi wake ni mafuta tu hana kingine anachotegemea, nafuu Russia wanaweza wakauza hata silaha.

Itakuwa vigumu sana kwao kufia muafaka wa Production Quotas kwa sababu hali ni ngumu na kila moja ana shida na pesa.
Tutashuhudia mengi sana asee kuhusiana na hili CORONA Inakuja Kutuletea DUNIA Nyengine Ijapokua Inatuumiza.

Sent using My COVID-19
 
Hapa iko kazi maanake Saudi Arabia Lifeblood ya uchumi wake ni mafuta tu hana kingine anachotegemea, nafuu Russia wanaweza wakauza hata silaha.

Itakuwa vigumu sana kwao kufia muafaka wa Production Quotas kwa sababu hali ni ngumu na kila moja ana shida na pesa.
Hakuna anayenunua silaha kwa sasa
 
Back
Top Bottom