Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,352
- 5,247
Tutashuhudia mengi sana asee kuhusiana na hili CORONA Inakuja Kutuletea DUNIA Nyengine Ijapokua Inatuumiza.Hapa iko kazi maanake Saudi Arabia Lifeblood ya uchumi wake ni mafuta tu hana kingine anachotegemea, nafuu Russia wanaweza wakauza hata silaha.
Itakuwa vigumu sana kwao kufia muafaka wa Production Quotas kwa sababu hali ni ngumu na kila moja ana shida na pesa.
Hakuna anayenunua silaha kwa sasaHapa iko kazi maanake Saudi Arabia Lifeblood ya uchumi wake ni mafuta tu hana kingine anachotegemea, nafuu Russia wanaweza wakauza hata silaha.
Itakuwa vigumu sana kwao kufia muafaka wa Production Quotas kwa sababu hali ni ngumu na kila moja ana shida na pesa.