Satelite internet in Tanzania

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau

hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni

TTCL
ZUKU
LIQUID
KONNECT
HAI
GOFIBER nk wate wapo competitive na ni unlimited

sasa changamoto ni moja tu hawa wapo town tu masaki posta oysterbay kariakoo tabata nk huku chanika hawajafika

sasa nikasikia zipo satelite internet nataka nifunge satelite internet huku home chanika naomba mnipe mwongozo na bundle za satelite internet zipoje
 
matumizi ya satelaiti ni ghali sana. we jiulize kwa nini anazam anakimbia kwenye Satelaiti TV anakimbilia telestrial??

alikadhalika kwenye Internet pia kupo hivyo
 
Usiishoe kusemq ghal
Ulizq ujue kias kishq ukiona zengwe inakimbia
 
Habar wadau

hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni

TTCL
ZUKU
LIQUID
KONNECT
HAI
GOFIBER nk wate wapo competitive na ni unlimited

sasa changamoto ni moja tu hawa wapo town tu masaki posta oysterbay kariakoo tabata nk huku chanika hawajafika

sasa nikasikia zipo satelite internet nataka nifunge satelite internet huku home chanika naomba mnipe mwongozo na bundle za satelite internet zipoje
Konnect ni satelite
 
Nakumbuka CHIEF MKWAWA aliwahi kuelezea hasara/madhaifu ya hii aina ya internet ya satellite, kwanza kabisa ina ping kubwa, pili haiko stable hasa kwenye swala zima la streaming itakutesa labda kama unataka kwa ajili ya matumizi ya kawaida sana haya ya kila siku tu kuchat na download vifiles vya kawaida kama wewe sio heavy user!
 
Labda huko dar
Huku mikoani ni balaa.. Mi niko mbeya na nlishawahi kufuatilia nikapewa mchanganuo na cost yake ilikuwa hivi
20211128_223948.jpg
 
Mkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simu
Kuna uzi jamaa amesha wa expose hapa

Mkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simu
KONNECT MTANDAO WA INTERNET WENYE KASI ZAIDI TANZANIA

KONNECT ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet kwenye Ofisi, Nyumbani🛖, Hospital, Shule, Vyuo, Hardware , Showroom , Supermaket , Viwandani , Garage, Stationary, Pharmacy Hotels n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT?
Tunajua umechoka kusubiri mtandao wako ili kuweza ku download au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao yani INTERNET kwa miaka 40 Kupitia, satelite yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena yako kwenda kwenye satelite zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet yenye speed kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania kwa kutumia huduma zetu leo
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasiKwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom