kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,428
- 13,936
Kama ukitafuta ukweli kuhusu wangapi leo wasiotumia majina yao walioanza nayo darara la kwanza utashikwa na butwaa. Kuna umati mkubwa wa watu ambao wameshikilia nyazifa mbalimbali ambao majina waliyonayo sio yao ya asili kutokana na ama kurudia shule ama kutumia vyeti vya watu wengine. Na usishingae ukakuta hata ma professor wamo humo ndani, au mnabisha?