Sata aanika ufisadi wa utawala wa Banda taratibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sata aanika ufisadi wa utawala wa Banda taratibu

Discussion in 'International Forum' started by KunjyGroup, Oct 12, 2011.

 1. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jana Mh. Sata alisema
  • Rais Banda alinunua Lexus 4 x 4 mbili kwa K3.6billion sawa na $720,000 na gari hizo zilikuja na ndege. Sata aliuliza, “Why buy two cars at such a price? Is it really necessary? Bring them by plane?”
  • NAPSA (Kama NSSF yakwetu) ilichotwa 1. $98million by unknown company. 2. $15million by unknown local company. 3. K75billion by unknown individual.
   Aliyekuwa finance director, Mrs. Chiwele alifukuzwa kazi na utawala wa Rais Banda baada yakukataa malipo ya hovyo. Rais Sata kamurudisha kazini na kasema, “Her dismissal will be treated as paid leave and ‘m reinstating her effective today.”
  • Food Reserve boss and finance director (Lazarous Mawere) wamefukuzwa kazi jana, “On national interest….” Hawa jamaa, namjua Mawere, ana magari ya haina ya Scania yanaobeba mahindi wamekula hela ya umma. Kwanza walinunua magari, wakajipa contract yakubeba mahindi wenyewe kwa bei waliyopanga wao.
  • National Service (JKT ya Zambia) wamepewa kazi na Sataa. “As far as I know, you are supposed to be the richest military wing. Thus, ‘m taking you back to your original job; building bridges and agriculture” na akasisitiza kwamba haona sababu yakupewa makampuni ya nje mikataba yakujenga madaraja wakati Nationa service ipo.
  • Juzi rais aliaanika ufisadi kataka ununuzi wa unga kwa wanajeshi. Awali wanajeshi walukuwa wananunuliwa unga na kugawiwa. Mara hii raisn Sata kasema “We know the price of mealie meal but the price it was being bought at is too high and contracts were given to their friend who flamed up prices.” Mara hii rais kasema wanajeshi wapewe hela tu ya unga wakanunue wenyewe na anajua bei ya unga.
  Hayo ni machachetu nimeona ni share na wana JF.
  Natamani ingekuwa hizi Tz
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Honestly haya mafunuo ndio yanayowafanya CCM wang'ang'anie madaraka. Haya mafisadi yetu, matakataka waliyoficha itachukua mwaka kuyafichua.
   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mkuu, sisiem hawatatawala milele. Hawana nguvu zaid ya nguvu ya umma
   
 4. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mara mbili yake ndivyo walivyotufanya ccm, na ndo maana wanaogopa kuachia madaraka kwa hiari, bahati mbaya nguvu ya umma lazima ishinde mwisho wa siku.
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata Zambia walitaka kuchakachua wananchi wakawahi kutoka mitaani na kudai kutangazwa kwa matokeo, sasa wanakula matunda matamu ya kupiga kura, kuzilinda na kuzitetea na hii nchi soon itapita hatua kubwa kiuchumi na hata nafuu ya maisha itakuwepo kubwa
   
 6. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lini itakuwa kwetu tz,Mungu atusaidie
   
 7. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tufanye kweli 2015 tupate mabadiliko.
  Siku hadi siku, watu wanaendelea kuchoka. Siku moja watasema hapana
   
 8. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ee mungu baba tujaalie nasi watanzania tumpate Sata wetu katika uchaguzi mkuu ujao. Eemen
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  80% ya watanzania wanaishi katika hali inayotia huzuni! watu hawana matumaini sababu ya mambo kama Banda!! Viongozi kama Sata huishi milele hata kama wakifa hubaki wakikumbukwa kwa mambo wanayowafanyia binadamu wenzao. Hakika Sata ni moja ya marais tunaowasubiri kwa muda mrefu Africa.
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  we need realistic presidents like him. I wish he was my president
   
 11. obm

  obm Member

  #11
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo itakuwa ni kazi ya mwaka 2015
   
 12. k

  kagosha Member

  #12
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sata ndiye atakayetuamshia watanzania, kwa hali ilivyo ccm hawatakaa wapende habari hizi zivume masikioni mwa watanzania
   
Loading...