Kuku aina ya Sasso

Kuku huanza taga ikifika miezi6 ila ukiwalisha vizuri huanza taga kuanzia miezi 5,,ila ukitaka kujua kuku yupi Ni mzuri kwa utagaji Ni kwanzia miezi 4 hi n kwa kutumia vidole namanisha unalaza vidole kwa ubavu nakuvilaza kwanzia mfupa was kidari "keel born" Hadi mifupa miwili ya pelvic yani ya mkiani apa vinatakiwa vilale kwanzia4 chini ya hapo huyo hafai
 
mkuu we fuga kuku uonao ni wazuri kwako acha kwendana na upepo wa watu wanaweza kukuyumbisha ka zile enzi za kware, sungura, n.k
 
KWAIYO wana tagaje kma una tetea 100
Huwa ni asilimia 80 ya idadi ya matetea! Kwa uzoefu wangu hapo unaweza Pata trei mbili kwa siku km utajitahidi kuwapa chakula kizuri au Kuna baadhi ya siku ikapungua kidogo au kuongezeka zaidi.....
Ila average lazma itakua trei mbili(mayai 60/pa day)
 
Wamenitesa sana machotara,nahamia broilers,Bora nienyeke nishike pesa ya pamoja hata kama ndogo
 
Back
Top Bottom