mbona nasikia hawa kuku utagaji wao ni wa tabu sana ?Miezi 6
Chakula ndio kila kitumbona nasikia hawa kuku utagaji wao ni wa tabu sana ?
Ila naona watu wengi wanalalamika wanakufa hovyo na kutaga ni mtihaniChakula ndio kila kitu
Sio kweli wanataga fresh tu! Sema sio ile uwe na matetea 200 utegemee kila siku utaokota mayai 200 haiko hivyombona nasikia hawa kuku utagaji wao ni wa tabu sana ?
Sasso ni kuku chotara,utagaji wao ni kawaida ,kuhusu kufa inategemea na jinsi unavyowafuga/kuwalea.Ila naona watu wengi wanalalamika wanakufa hovyo na kutaga ni mtihani
Huwa ni asilimia 80 ya idadi ya matetea! Kwa uzoefu wangu hapo unaweza Pata trei mbili kwa siku km utajitahidi kuwapa chakula kizuri au Kuna baadhi ya siku ikapungua kidogo au kuongezeka zaidi.....KWAIYO wana tagaje kma una tetea 100
Pole sana mkuu ,kilitokea nini na sisi tujifunzeWamenitesa sana machotara,nahamia broilers,Bora nienyeke nishike pesa ya pamoja hata kama ndogo