Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

nipo na sasha now hyatt regency hotel nataka nimpige cheni yake ya dhahabu



14499080_1966326410260804_8885612325478858752_n.jpg
 
Mmh ana nyonyo kama beseni, kha hili kikimfunika mtoto lazima afe kwa kukosa hewa
 
Hilo gari itakuwa alinunuliwa na huyo jamaa ,baada ya jamaa kuamua kumtosa huyo manzi ,akaamua kuchukua kilichochake na kusepa,ili achomoke vizuri!
 
VIDEO Queen Sasha Kasim ‘Kim Sasha ’ hivi karibuni amedaiwa kutapeliwa pesa za gari na mpenzi wake (jina linahifadhiwa) ambaye ni mume wa mtu kitendo kilichomsababisha adate na kukimbilia Zanzibar ambapo ameenda kupumzisha mawazo.

Sosi wa habari hii aliye karibu na Sasha alidai kuwa Sasha na mwanaume huyo wamekuwa wapenzi kwa mwaka mmoja na walikuwa wameahidiana mambo makubwa ya kimaendeleo lakini mwanaume huyo amekuwa tapeli kwani hivi karibuni Sasha alinunua gari akalichukua yeye.

“Huwezi kuamini alimshauri waliuze alafu atamnunulia lingine, gari hilo lilikuwa ni ractis akamshawishi wauze kisha atamnunulia Mark X ambalo mpaka sasa hajalinunua na pesa ameingia nazo mitini kamuacha Sasha akiwa analia,” alisema Sosi.

Baada ya sosi kuanika hayo Sasha aliendewa hewani na kukiri kutapeliwa na bwana huyo ambapo mpaka sasa hajamnunulia gari lingine na hata hajulikani yuko wapi.

“Namstahi kwa sababu ni mume wa mtu lakini asipotokea nitamfanyia mbaya kwa kumuanika kwani amenisababishia stress mbaya na amenifanya nisiingie kwenye mahusiano na mtu mwingine yeyote kwani simwamini tena kiukweli,” alisema Sasha.

View attachment 614319 View attachment 614320
Halali yke kutapeliwa
 
Back
Top Bottom