FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Wanaoachishwa wako 15 cha muhimu wapewe haki stahili.Wengine wametolewa voda na ttcl kwa dau kubwa ghafla unaharibiwa maisha kwa kweli ni noma.Kuna dada mmoja wa HR inasemekana kawambia wataoachishwa hakuna malipo.hivi mtu anastahili malipo gani anapoachishwa kazi na anatakiwa awe amefanya muda gani ili astahili kulipwa.
Gosh kampuni zingine matatizo tupu