SASATEL inapunguza wafanyakazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SASATEL inapunguza wafanyakazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpogoro, Dec 1, 2009.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kuwa SASATEL inapunguza wafanyakazi....jana kuna wananchi kama 8 wamepigwa chini?Kuna ukweli juu ya hili....wenye data tafadhali....
   
 2. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza nifahamisha hii ni kampuni ya mtu gani ?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sijui kama ulikuwa na nia ya Kuuliza, kama inavyoonyesha!

  Lakini kama upunguzaji upo na ukifanywa kwa uhalali, there is no way out!
  Ishu iwe ni kama watalipwa stahiki zao zote, kwa wakati sahihi na bila SAUNDI!
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mara!!!!! that is too fast, just a few months...anyways no clue!!!
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  SASATEL! The CDMA people!! Wanaendeleaje? Nilitukanwa sana humu nilipopinga business strategy yao.
   
 6. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  We need to focus Men! watu tuliona yaliyowakumba washkaji wa HITS! SASATEL Wamekuja kwa mbwembwe za kuwapa hata wasiostahili kupewa magari ili waonekane wako juu!! Thats good strategy but.... ...
  tigo.. tigo 1shs per sec.
  voda Tshs. 500. get 60mins
  Sijui mtaingilia wapi?
  But kazeni buti you made a good Gumble SASATEL GUYS

  Njooni na ya 1shs per sec kwenda mitandao yote. hii kidogo itatuvuta kidogo
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Au walitegemea upako wa mama Lwakatare ambaye ni mmoja wa wenye kampuni,subirini atafanya miujiza yake ili Sasatel iwe nambari wani,kama anaweza kuwapa upako wa utajirisho waumini wake basi hata Sasatel atafanya vitu vyake the teh
   
 8. m

  matambo JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  tigo for life
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mapema mno
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Kuna mdau alinitumia ujumbe huu:

   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kumekucha...
   
 12. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hiyo inaitwa "PROCESS REENGINEERING AND SYSTEM REDESING" kwa waliosoma/wanaosoma Operational Management si kitu cha kushangaza sana!!!!
  Vp na ile kampuni nyingine ya SMILE COMMUNICATION,bado haijaanza kazi tu?
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni muda yaani miezi 6 then unapunguza wafanyakazi?? hii inaonyesha ni jinsi gani bussiness plan yao ilivyokua hovyo!! TiGo for Life!!
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Kimey hiyo ilikua hovyo hovyooooooooo, vururuvururu, shagalabagala....
   
 15. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Wanaoachishwa wako 15 cha muhimu wapewe haki stahili.Wengine wametolewa voda na ttcl kwa dau kubwa ghafla unaharibiwa maisha kwa kweli ni noma.Kuna dada mmoja wa HR inasemekana kawambia wataoachishwa hakuna malipo.hivi mtu anastahili malipo gani anapoachishwa kazi na anatakiwa awe amefanya muda gani ili astahili kulipwa.
   
 16. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miezi 6 tu ya kazi utadai malipo gani? Sheria mpya ya kazi (inayotumika sasa) inahitaji mwajiri kukubaliana na mfanyakazi 'retrenchment package' (I think). Wenye kuijua waweke hapa kuwasaidia hawa 'waathirika'.
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  mkuu nimekupata vizuri lakini huwezi fanya BPR at the time ambpo nodo ume launch product. Hiyo hufanyika muda mrefu baada ya kuoperate na unataka kubadilisha mambo ili kuboresha ufanisi. Lakini kwa hawa jaamaa hilo neneo kabisa si mahali pake. Wao watakuwa na matatizo hasa katika issue ya ushindani an technology.
   
 18. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  True! Nakumbuka. Yule sijui alikuwa engineer wao? I wish angejitokeza leo. Wenzao BOL wameshafunga mtambo, TTCL ndio hao wanachechemea, SASATEL wanafunga kidogokidogo kwa kupunguza wafanyakazi ndani ya miezi 6. Dansi la CDMA halichezeki Bongo!
   
 19. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very true! Na tatizo lao la msingi ni Vision.

  Maana walijua kabisa technology waliochagua na mazingira ya soko kabla hawajajitosa. Hata hao wanaopunguzwa hivi sasa hawakuhitajik kuajiriwa 6 months ago kama vision yao ingekuwa right.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  hii mbona ndo naisikia hapa JF
   
Loading...