Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,349
Naona unatafuta ligi ngoja nifunge mdomo wangu
Nilimwaga ukweli, then ukakurupukia kujibu bila kufikiri ama kuelewa nini kimeandikwa. Tambua kuwa, sijaja kuropoka, hapa JF ni shule ya elimu dunia. Kuna madaktari humu na watu waliobobea kwenye fani zao. Sina bifu na wewe kwanza sikujui ila nilikujibu tu baada kuona unakosoa kitu cha ukweli kwani sikukuelewa kabisaaa!