Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.

Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo. Tunaanza kuchukua kombe moja baada ya jingine. Na tumeanza na ngao ya jamii.

Ondoeni shaka. Tulimleta Zahera sababu hii pia. Amekuja na wataalamu toka Congo. Kifupi SIMBA HATOKI LEO. SIMBA ANAUMIA VIBAYA SANA.

SIMBA ASIPOFUNGWA LEO NAVUA NGUO. HILI NALIWEKA WAZI.
 
Ila akili za Moo bhana!! Gari la TBL amelijaza machata yake bila hata ya aibu!! Lile jipya sijui liko wapi?
 
Yaani TBL bia?
Yah! Hizo Yutong walipewa kitambo na Kampuni ya bia ya Kilimanjaro, yeye na mtani wake Yanga!

Sasa Moo ndiyo kaona ajaze machata yake kila sehemu, huku lile basi jipya wanalo jisifia kudhaminiwa na Kampuni ya magari ya Aficarriers likipotelea kusiko julikana.
 
Huyu jamaa ni front page conman..
Alifaa kuwa jela anawapiga sana mbumbumbu.
 
Yaani anawachezea tu akili! Bilioni 20 zimeishia kwenye lile bango kubwa mfano wa hundi! Jana kimada wake kaenda kupiga picha za magari ya watu, akawadanganya eti ni ya timu!

Leo timu inaingia uwanjani na Yutong ya TBL ya miaka 10 na zaidi iliyopita! Moo ni janja janja sana. Na kwa hawa mbumbumbu mpaka waje kushtuka usingizini, watakua wamebakia na kale kajengo kao chakavu ka Mtaa wa Msimbazi.
 
Hao waganga wa jadi toka DRC walianza kufanyakazi tangu timu ya Taifa ya DRC ilipocheza na Tanzania. Na bado DRC ikala Kichapo.
 
Kabisa mkuu,Hata mimi mwenyewe nimechungulia nimeona simba anakufa.

Makambo!! Makambo!! Makambo!!
 
Yah! Hizo Yutong walipewa kitambo na Kampuni ya bia ya Kilimanjaro, yeye na mtani wake Yanga!

Sasa Moo ndiyo kaona ajaze machata yake kila sehemu, huku lile basi jipya wanalo jisifia kudhaminiwa na Kampuni ya magari ya Aficarriers likipotelea kusiko julikana.

Mkataba wa TBL na Simba ulishakwisha siku nyingi,ulitakaje sasa,waendelee kujaza matangazo ya Kilimanjaro/Safari Lager. Hivi Utopolo mtaacha lini kujadili hizi petty issues,badala mjikite kwenye matokeo uwanjani,roho inakutoka kisa matangazo ya Mo kwa Bus la Simba
 
Yaani anawachezea tu akili! Bilioni 20 zimeishia kwenye lile bango kubwa mfano wa hundi! Jana kimada wake kaenda kupiga picha za magari ya watu, akawadanganya eti ni ya timu!

Leo timu inaingia uwanjani na Yutong ya TBL ya miaka 10 na zaidi iliyopita! Moo ni janja janja sana. Na kwa hawa mbumbumbu mpaka waje kushtuka usingizini, watakua wamebakia na kale kajengo kao chakavu ka Mtaa wa Msimbazi.

Nadhani Mo kuna mahali alikuzidi kete si kwa gubu hili kwa Mwanaume mwenzio
 
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.

Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo. Tunaanza kuchukua kombe moja baada ya jingine. Na tumeanza na ngao ya jamii.

Ondoeni shaka. Tulimleta Zahera sababu hii pia. Amekuja na wataalamu toka Congo. Kifupi SIMBA HATOKI LEO. SIMBA ANAUMIA VIBAYA SANA.

SIMBA ASIPOFUNGWA LEO NAVUA NGUO. HILI NALIWEKA WAZI.
We Chizi" utavua kweli kweli!?
 
Back
Top Bottom