Elections 2010 Sasa tusubirie majambazi watakaopangwa kwenye first eleven

Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
533
89
Sasa tayari washajitawaza jamani mi nasubiria nione wezi watakao pangwa kwenye hilo baraza la mawaziri.
Sio ajabu huyu mtu asivyo na aibu akawarudisha wale watuhumiwa wa ufisadi kwenye baraza la mawaziri.
EE MUNGU PITISHA MBALI MAANA hii ni dharau kubwa kwa watanzania inaweza kunifanya nitupe pasport ya tanzania na cheti cha kuzaliwa msalani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom