Sasa tupumzike kupost, tule Burudani mpaka Mh. Samia ateue Waasisi wa JF kuwa Ma DC. Ni mwendo wa Kula Bata kwa Show Kali kutoka JF members.

Mkuu bonge la ngoma yani hizo moves zako sijawahi ona we mkali sana, halafu hilo beat akina S2kizzy wakajifunze aisee. Umekuja fanya mapinduzi makubwa ya mziki mkuu.
Heko kwa ngoma kali kama hii. Kuna na ile nyingine ambayo video ina jeneza, ile ngoma kali BET wangekuwa hawana kamati ya roho mbaya ungeingia kwenye kinyanganyiro ya ngoma bora ya Afrika
 
Of course
 
Nimetoka kuangalia wimbo wa Rose Ndauka-Sijali na comments za walimwengu kabla sijamalizia cheko langu nakutana na uzi huu na comments za wanaJf,

Mtanivunja mbavu nyie vijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kabisa Bingwa! Yule mchumba ulimpata au tukuunganishe na Melinda Bilgates? Sema Neno Don
 
Back
Top Bottom