Sasa TBC ni Live Online!!

Hiyo dola saba unailipiaje?

NAMNA YA KULIPA NI KWA KUTUMIA KADI (VISA/MASTER CARD) AMBAYO IMEKUA ENABLED TO PURCHASE GOODS/SERVICES ONLINE. OWNERS WA HIYO TV4AFRICA ANATUMIA MTANDAO WA PAYPAL KUPOKEA MALIPO,KWAHIYO NI LAZIMA UJISAJILI KWANZA KWENYE MTANDAO WA PAYPAL NDIO UTAWEZA KULIPIA HIYO SERVICE.

KWA UJUMLA JAMAA ANAJITAHIDI KURIDHISHA WATEJA WAKE, NA KUNA CHANNELS NYINGI AMBAZO UNAWEZA UKAZIONA, NA NYINGI NI NATIONAL TVs ZA MATAIFA KADHAA YA AFRICA.

CHANGAMOTO NINAYOIONA KWETU BONGO NI SPEED YA INTERNET FROM OUR ISP PLUS ASSOCIATED COSTS. AIRTEL WAKO VIZURI, INGAWA UKIANGALIA HIZI TVs, BUNDLE LINALIKA UPESI. KWAKWELI MIMI NAONA ILI UWEZE KUFAIDI VIZURI HII HUDUMA, KWANZA UWE NA INTERNET SERVICE PROVIDER(ISP) ATAKAYEKUPA NET YENYE SPEED YA MAANA, PILI GHARAMA ZIWE AFFORDABLE.
 
Asante sana BOB, Hivyo ndivyo vijijamba vya mabadiliko kutoka kwenye analogia kwenda digitali. Hapo unaongelea kuwa na muunganisho wa fiber optic cable home. Kwa mfumo huo, utapata sauti {simu}, video {televisheni} na data mtandao {internet}. Hivyo utapata tv na radio za speed ya ajabu. Na hasa ukiwa na digital tv utafurahi. Gharama itabaki ni changamoto. Kwa kawaida tz wezi wengi.
 
Wakuu sasa TBC iko mtandaoni pamoja na ITV kwenye tv africa
Cha kufanya nikudownload hako ka software kao na kudonate dola 7 kwa mwezi mzima.
Enjoy!!
mi niijuaa bureeeeeee...sasa sisi ambao hatuna hizo credit cards ambao benk zetu ni nmb na daresalam comunity bank si imekula kwet?....
 
Ni nzuri kwa walio nje ya nchi walau kupata habari za home bongo
Kwa tuliopo bongo ni maumivu plus mateso
Maana usd 7+bundle+slow connection, ni bora uweke star times au dish la bure
Mkuu, hapo umesema sawia.
Home hii kitu haifai, go with dish, tena la bure tu linatosha sana, na ukiweka DSTV japo wanaumiza, sio mbaya sana!!
 
Wahuni hao, quality mbovu!
Napinga hiyo.. Quality sio mbovu ni nzuri kamaTV zenyewe zilivyo, pia inategemea na bandwidth ya internet connection yako. Hii service sio nzuri kama huko Tanzania, utakuwa hujitendei haki kuitumia,ni bora uweke Antenna tuu badala ya kumaliza vifurushi vya Internet ya manati. Hii service inawafaa sana walioko nje ya nchi ambao wanahitaji habari za nyumbani moja kwa moja. Huwa sioni mantiki mtu wa Dar kusikiliza clouds FM online halafu analalamika Internet iko slow! Ni bora kununua Radio ya mchina u-tune Clouds FM halafu utumie internet kwa mambo mengine kwa speed nzuri. Kwa hiyo kama huko Bongoni bora uweke Antenna tu utapata TBC wa nje wataitumia na kufurahia.
 
Mkuu siandikii mateee!! sauti yake inakwaruza, haipo kama livestation.com
 
Hv ile rstp// link ya uncle rukus alotoaga ipo wap?! Ngoja niitafute niachane na huu wiz!
 
Hii kitu ni nzuri kwa watu walioko nje ya nchi na pia kwa wakazi wa mikoani wasioweza kupata channel hizi...! Cha muhimu ni kufanya uboreshaji wa sauti na picha. Big-Up sana
 
Mkuu siandikii mateee!! sauti yake inakwaruza, haipo kama livestation.com

Ndugu yangu, hivi ni vitu vya convenience cha msingi ni kuwa na sehemu ya kuona habari za nyumbani, mambo ya audio quality naona hayanipi shida sana kwani nasikia vizuri kila wanachosema ingawa ni tofauti na FM radio.
 
subiri niwafundishe kugenerate link ya tbc kutoka voda uangalie bure maanake dola 7 ni zaidi ya elf 10 si bora nieke star times alaf ilo buku niwe niwe nanywa supu ya pweza ntie tie shavu kidogo?

Tafta simu yoyote ya 3g eka line ya voda "ata kama ina shilingi sifuliii" then nenda DStv Mobile ambayo ni bure then fata maelekezo halafu connect tv unayoipenda.

I hope simu yako ina real player kama yangu so tv ikianza tu kustream we bonyeza pause then bonyeza option halafu clip details then shuka chini utaona web adress icopy na kalamu hio ndo link ya tbc au hio tv unayoicheki.

I think utaweza
 
Back
Top Bottom