Sasa siasa inahamia klabu ya Simba. Mzee Kilomoni anatumika

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Kwa wanaofuatilia mwenendo wa siasa zetu na kile kinachoendelea kwenye michezo hasa klabu ya simba watakubaliana nami kwamba sasa siasa za Awamu ya tano rasmi zimehamia klabu ya simba.

Kufuatia mabadiliko ya uendeshaji klabu, Simba ilifanya mabadiliko ya katiba yake na kuruhusu uwekezaji kwa mmiliki atakayepewa baada ya uongozi kuamua. Kuna uitaratibu wa mmiliki kupata hisa ya asilimia 49 na wanachama asilimia 51.

Kwa takribani miezi miwili hivi kumeibuka sintofahamu huko na kinachoendelea kinaonekana Serikali imeingilia kati sasa kwenye klabu ya simba.

KAULI YA MZEE KILOMONI.
Huyu mzee ameibuka na kauli mpya kwamba sasa yeye akiwa mwenyekiti wa Baraza la wadhamini anamtaka Mo mmiliki wa klabu amtafute na ampe msimamo wa serikali kwamba wawekezaji wanatakiwa wawe watatu ambao ndio watagawana hizo asilimia 49 za hisa unaotokana na uwekezaji wao.

Wiki mbili zilizopita alisikika Mo akisema anahujumiwa na wasaidizi wake, sasa unatoka msimamo wa serikali kupitia kwa Kilomoni. Hii ni siasa kwenye klabu ya simba.

MASWALI YA KUJIULIZA
Nani kamtuma kilomoni kutoa msimamo wa serikali wakati klabu ya Simba inaongozwa na Katiba yake iliyowapa nguvu wanachama kuamua mambo yao?

Jee Msimamop huo umezingatia uwekezaji ambao umeshafanywa na Mo hadi sasa kiasi cha kuchomekewa ajenda mpya ya umiliki wa utatu kwenye hisa za muwekezaji jee huku si kumuhujumu Mo na klabu ya simba?

Kwa nini Serikali imejiingiza sasa wakati uwekezaji umeshaanza kufanyika huku si kufanya hadaa ili muwekezaji apate hasara za mamilioni pale atakapoamua kujiondoa au kuendelea na uekezaji?

Kuna dhamira gani hapa ?

KUTUMIKA KWA MZEE KILOMONI.
Kuna kikao chochote cha baraza la wadhamini kukutana na kupitisha maazimio? na kama kimefanyika kimezingatia misingi ya uwekezaji ambao tayari imefanywa. Kuna suala la utawala na mawasiliano ya ndani kwa nini Mzee Kilomoni anakuja kwenye Media? Hapa kuna nini?

HITIMISHO.
Kuna kila dalili kuwa sasa siasa za Magufuli zimeingia Simba na Mo ni mlengwa. Katika hali hio tusitarajie ufanisi wa michezo ambao tulikuwa tunaona mwanga kupitia klabu ya simba. Serikali itafute njia sahihi za kuingilia mambo ili kuepusha vurumai na mikanganyiko.

Nyuma ya sakata la Mzee Kilomoni kuna siasa zimepenyezwa Simba na zitaathiri sekta ya michezo nchini.

Kama kauli ya Kilomoni ni kweli basi Serikali ya Rais Magufuli haitaepuka kuhusishwa na hujuma kwa Mwekezaji wa simba na klabu yenyewe.

Kishada
 
Niliwasikiliza vzr kweli , pamoja na yule Nkwabi walikomaa mnoo kuhusiana na hilo swala , na Nkwabi akasema pale kuna Serikali,bodi ya wadhamini sijui na kitu gani kingine kimenitoka kidogo,naweza kuungana na ww km kuna mambo yako nyuma ya pazia,kwa haya yanayoendelea tusitegemee mpira wetu kuendelea aisee, aliulizwa huoni kama baada ya Mo kuchukua timu imefanya vzr kuliko wakati wowote akabaki oho wanaosema hivyo hawaijui Simba ujinga mtupu
 
Tatizo Watanzania wengi mnajisahau sana.
Yanga ilianzishwa na wana harakati wazalendo wa kutafuta Uhuru. Michezo ilitumika kama maficho ya kukutana, yaani walitumia michezo kama kichaka cha kuzungumzia agenda zao.
Simba, wakati huo ikiwa Sunderland, ilianzishwa na wapinzani wa Uhuru ili kupambana na Yanga.
Wale wanaitwa 'Wazee wa Dar es Salaam' ni moja ya wadau katika clubs za Yanga na Simba.
Kama na hapa sijaeleweka basi, kuna tatizo.
Michezo ni sekta muhimu sana katika utawala wa nchi yeyote.
Michezo inatumika kuleta amani na kuwaamsha na kuwahamishia katika hali tofauti.

Kimsingi, michezo inaweza kuwa laana au baraka kwa amani ya nchi iwapo haitathibitiwa.

Rejea point yangu kuhusu kuanzishwa kwa Yanga na lengo lake ilikuwa ni nini
 
Walianza na Manji kwa Yanga,wakahamia kwa Mo indirect kwani wasingewapinga wote kwa wakati mmoja!!

Kwenye Harambee PM akamuwakilisha Rosti tamu na tukaambiwa akirudi ataongea zaidi,akarudi akaongea kuwa club hizo sio sawa kwa watu binafsi kuzimiliki!!

Kama hadi sasa kuna watu hawajui nani wanapika haya mapishi basi kazi IPO,ila hawataki ya Katumbi na TP Mazembe yake kutaka kubeba uraisi!!
 
Kwa wanaofuatilia mwenendo wa siasa zetu na kile kinachoendelea kwenye michezo hasa klabu ya simba watakubaliana nami kwamba sasa siasa za Awamu ya tano rasmi zimehamia klabu ya simba.

Kufuatia mabadiliko ya uendeshaji klabu, Simba ilifanya mabadiliko ya katiba yake na kuruhusu uwekezaji kwa mmiliki atakayepewa baada ya uongozi kuamua. Kuna uitaratibu wa mmiliki kupata hisa ya asilimia 49 na wanachama asilimia 51.

Kwa takribani miezi miwili hivi kumeibuka sintofahamu huko na kinachoendelea kinaonekana Serikali imeingilia kati sasa kwenye klabu ya simba.

KAULI YA MZEE KILOMONI.
Huyu mzee ameibuka na kauli mpya kwamba sasa yeye akiwa mwenyekiti wa Baraza la wadhamini anamtaka Mo mmiliki wa klabu amtafute na ampe msimamo wa serikali kwamba wawekezaji wanatakiwa wawe watatu ambao ndio watagawana hizo asilimia 49 za hisa unaotokana na uwekezaji wao.

Wiki mbili zilizopita alisikika Mo akisema anahujumiwa na wasaidizi wake, sasa unatoka msimamo wa serikali kupitia kwa Kilomoni. Hii ni siasa kwenye klabu ya simba.

MASWALI YA KUJIULIZA
Nani kamtuma kilomoni kutoa msimamo wa serikali wakati klabu ya Simba inaongozwa na Katiba yake iliyowapa nguvu wanachama kuamua mambo yao?

Jee Msimamop huo umezingatia uwekezaji ambao umeshafanywa na Mo hadi sasa kiasi cha kuchomekewa ajenda mpya ya umiliki wa utatu kwenye hisa za muwekezaji jee huku si kumuhujumu Mo na klabu ya simba?

Kwa nini Serikali imejiingiza sasa wakati uwekezaji umeshaanza kufanyika huku si kufanya hadaa ili muwekezaji apate hasara za mamilioni pale atakapoamua kujiondoa au kuendelea na uekezaji?

Kuna dhamira gani hapa ?

KUTUMIKA KWA MZEE KILOMONI.
Kuna kikao chochote cha baraza la wadhamini kukutana na kupitisha maazimio? na kama kimefanyika kimezingatia misingi ya uwekezaji ambao tayari imefanywa. Kuna suala la utawala na mawasiliano ya ndani kwa nini Mzee Kilomoni anakuja kwenye Media? Hapa kuna nini?

HITIMISHO.
Kuna kila dalili kuwa sasa siasa za Magufuli zimeingia Simba na Mo ni mlengwa. Katika hali hio tusitarajie ufanisi wa michezo ambao tulikuwa tunaona mwanga kupitia klabu ya simba. Serikali itafute njia sahihi za kuingilia mambo ili kuepusha vurumai na mikanganyiko.

Nyuma ya sakata la Mzee Kilomoni kuna siasa zimepenyezwa Simba na zitaathiri sekta ya michezo nchini.

Kama kauli ya Kilomoni ni kweli basi Serikali ya Rais Magufuli haitaepuka kuhusishwa na hujuma kwa Mwekezaji wa simba na klabu yenyewe.

Kishada
Kwan mkuu si kuna vikao halal kama kuna tatizo lijadiliwe huko, simba kama taasisi haipendezi maswala ha club kuletwa mitandaoni, mfano mo kama ameona kuna tatizo alipaswa kutumia vikao halali ili solution ipatikane, na siyo kuja twiter kuleta taharuki na kuchonganisha wanachama, pia je? Kwenye mkataba wa uwekezaji aliambiwa atapewa na hati za majengo, na azifanyie nini, kinachotakiwa ni uwazi ktk uwekezaji wake
 
Kwa wanaofuatilia mwenendo wa siasa zetu na kile kinachoendelea kwenye michezo hasa klabu ya simba watakubaliana nami kwamba sasa siasa za Awamu ya tano rasmi zimehamia klabu ya simba.

Kufuatia mabadiliko ya uendeshaji klabu, Simba ilifanya mabadiliko ya katiba yake na kuruhusu uwekezaji kwa mmiliki atakayepewa baada ya uongozi kuamua. Kuna uitaratibu wa mmiliki kupata hisa ya asilimia 49 na wanachama asilimia 51.

Kwa takribani miezi miwili hivi kumeibuka sintofahamu huko na kinachoendelea kinaonekana Serikali imeingilia kati sasa kwenye klabu ya simba.

KAULI YA MZEE KILOMONI.
Huyu mzee ameibuka na kauli mpya kwamba sasa yeye akiwa mwenyekiti wa Baraza la wadhamini anamtaka Mo mmiliki wa klabu amtafute na ampe msimamo wa serikali kwamba wawekezaji wanatakiwa wawe watatu ambao ndio watagawana hizo asilimia 49 za hisa unaotokana na uwekezaji wao.

Wiki mbili zilizopita alisikika Mo akisema anahujumiwa na wasaidizi wake, sasa unatoka msimamo wa serikali kupitia kwa Kilomoni. Hii ni siasa kwenye klabu ya simba.

MASWALI YA KUJIULIZA
Nani kamtuma kilomoni kutoa msimamo wa serikali wakati klabu ya Simba inaongozwa na Katiba yake iliyowapa nguvu wanachama kuamua mambo yao?

Jee Msimamop huo umezingatia uwekezaji ambao umeshafanywa na Mo hadi sasa kiasi cha kuchomekewa ajenda mpya ya umiliki wa utatu kwenye hisa za muwekezaji jee huku si kumuhujumu Mo na klabu ya simba?

Kwa nini Serikali imejiingiza sasa wakati uwekezaji umeshaanza kufanyika huku si kufanya hadaa ili muwekezaji apate hasara za mamilioni pale atakapoamua kujiondoa au kuendelea na uekezaji?

Kuna dhamira gani hapa ?

KUTUMIKA KWA MZEE KILOMONI.
Kuna kikao chochote cha baraza la wadhamini kukutana na kupitisha maazimio? na kama kimefanyika kimezingatia misingi ya uwekezaji ambao tayari imefanywa. Kuna suala la utawala na mawasiliano ya ndani kwa nini Mzee Kilomoni anakuja kwenye Media? Hapa kuna nini?

HITIMISHO.
Kuna kila dalili kuwa sasa siasa za Magufuli zimeingia Simba na Mo ni mlengwa. Katika hali hio tusitarajie ufanisi wa michezo ambao tulikuwa tunaona mwanga kupitia klabu ya simba. Serikali itafute njia sahihi za kuingilia mambo ili kuepusha vurumai na mikanganyiko.

Nyuma ya sakata la Mzee Kilomoni kuna siasa zimepenyezwa Simba na zitaathiri sekta ya michezo nchini.

Kama kauli ya Kilomoni ni kweli basi Serikali ya Rais Magufuli haitaepuka kuhusishwa na hujuma kwa Mwekezaji wa simba na klabu yenyewe.

Kishada
Siku niliposikia RA akisema Yanga haihitaji mwekezaji,kwmba ni timu kubwa,nikajuwa tayari siasa imepenyezwa kwenye klabu ya Simba kwa mlango wa nyuma.
 
Halafu kuna mtu na akili zake timamu kabisa anategemea kule Misri tungewafunga Senegal, Kenya na Algeria.

Kilomoni na Akilimali ni wale wale tu, wanatumiwa na wanasiasa kwa malengo yao kisiasa, wanasiasa hawataki kuona status quo ikibadilika.

Lakini tunazidi kupoteza muda kwenye majungu na majibizano, wakati kina Madagascar wakiendelea kuwauza Ulaya wachezaji wao.
 
Mkuu iyo ndo point ya msingi, coz anauwezo wa kusajir yeyote amtakae, afanye ivyo ili awe na timu yake binafs
Mbona mzee Kilimoni kamwambia hivyo lakini MO anataka ready made! Aanzishe timu yake au akanunue Singida United aifanye kuwa bora. Kwa nini anang’ang’ania Simba? Kwanza hadi sasa kawekeza kiasi gani ndani ya Simba; pikipiki kwa wachezaji?
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom