Sasa ninawatamkia rasmi Dr. Slaa ndilo chaguo la Mwenyezi Mungu.................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ninawatamkia rasmi Dr. Slaa ndilo chaguo la Mwenyezi Mungu..................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Oct 17, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,422
  Likes Received: 414,718
  Trophy Points: 280
  Huko nyuma sikutaka kuwa wazi lakini kwa vile siku za uchaguzi zimeyoyoma sasa ninawatamkia rasmi JK na CCM yake wamepoteza huu uchaguzi na Dr. Slaa na Chadema ndiyo watakaounda serikali yetu na watakaa madarakani kwa kipindi cha miaka kumi bila bughudha yoyote ile.

  Mwenye masikio na asikie na siye na mwana aeleke jiwe.

  Please read "Romans 11: 29 For the gifts and the calling of God are irrevocable"

  Vilevile tafakari Isaiah 54 :17 "No weapon formed against you shall prosper, and every tongue which rises against you in judgment you shall condemn. This is the heritage of the servants of the LORD, and their rightness is from ME" says the LORD"
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK alikuwa "chaguo la Mungu" mwaka 2005, mwaka huu 2010 mambo yamebadilika, asianze kutumia vitisho vya kijeshi, havitamsaidia!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Madrasat al sul
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  JK = Chaguo la shetani na mapepo ya shehe yahaya
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  umefurahi eh? niliteleza tu. rudia kusoma
   
 6. C

  CAIN Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nahisi sasa hawa watu wanachanganyikiwa/wamechanganyikiwa.
  Hivi Rutashubanyuma.. hayo maandiko ya Isaiah na Romans yamemtaja Slaa.. au labda mimi siyaelewi!!! Kwanini isiwe yanamuongelea JK? Hivi ni vigezo gani vimekufanya ufikiri yanamuongelea Slaa, au tu kwa vile akili yako inampenda Slaa???
  Anyway hayo ni maoni na imani yako na YEYE unayemuanini na akusaidie hayo yatimie ili kwamba yasipotimia usije kengeuka na kumkashifu...

  Kumbuka! Wote wanasali na kuomba

  Nawakilisha Oktoba 31
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapa mnapo elekea mtakufuru tu!
  Bora tuombe kwa imani zetu na tupige kura
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye hati nyekundu ndipo mnapokiponza chama chenu kuhusishwa na udini. Angalieni sana hilo halitakisaidia chama zaidi ya kupata upinzani unaohusu masuala ya kidini ukizingatia mgombea ameshawahi kushika nyadhifa kubwa kanisani.
   
 9. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sipati picha watu nyinyi mtalia kilio gani baada ya kutangazwa matokeo...
  Chonde msije kukimbia tu hapa jamvini....
   
 10. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwani mgombea kabla ya kuingia kwenye maisha ya kawaida alikuwa nani? Hujajua tu mungu anaezungumziwa hapa?
   
 11. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  BAADA YA MATOKEO HAKUTAKUWA NA MISHEMISHE JF KWA WIKI MBILI...... :dance:
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  japo sikubaliani na unabii wa rutashubana lakini kumbuka kuwa maandiko ya biblia ni ya dini zote(uislam+ukristu)
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  So, mungu wa Malaria sugu dhidi ya Mungu wa Dr Slaa.:biggrin1: Bila shaka mungu wa malaria sugu lazima abwagwe!!!!!!
   
Loading...