Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Saccos iliyochangamka (chadema) iko hai kule Twitter tu! Act wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025.
 
Saccos iliyochangamka (chadema) iko hai kule Twitter tu! Act wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025.
Ruhusu mikutano ya Siasa uone mziki wake.
Maana mlivyo waoga hata mikutano ya ndani tu mliyojifanya kuwaruhusu wakiitisha tu mnawakamata.na Sasa mnawazimia Hadi internet.nyie waoga kishenzi.
 
"Temea chini ndugu" usikalili,sijui elimu yako wala umri wako,Wala upeo wako wa kujua Mambo.
Ingawa sipendi itokee na pia naogopa hata kuandika.
Unajua na ninakuhakikishia kuwa Tanzania inaweza kufa ndani ya saa moja tu.
Muungano unaweza kuvunjika wakati wowote ule na Tanzania ikawa Historia.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio unazaa Tanzania na kwa bahati mbaya muungano wetu uko very delicate.
Pia kwa kukusaidia nakupa baadhi ya nchi zilizokufa.
Ndio maana nikatilia mashaka ufahamu wako.
1.USSR
2.Yugoslavia
3.Sudan
4.chekoslovakia
Kwa uchache.
Usikalili.
Umefanya vizuri kumpatia elimu ya bure angalau apunguze vapour kichwani mwake.
 
Rungwe ni mtu poa Sana Hana maneno na mtu.

Hatuwasahau Bali nyinyi hamjasakamwa Kama isakamwavyo Chadema, Kama mgesakamwa na mkavuka vikwazo na mishale mkakwepa tungewapongeza tu.
Wao hata hawajasumbuliwa na sirikali ya jiwe,labda ile kuzuiwa kugawa rushwa ya ubwabwa wakati Wa kampeni
 
Kuna watu kama Halima Mdee, Bulaya, Matiko n.k. ambao walikuwa wakisimama Bungeni watu wanawasikiliza kutokana na umahiri wao wa kuikosoa serikali na kuchambua mapendekezo ya sheria yaliyokuwa yanapendekezwa. Tukawaamini sana na kuwasifia weledi wao. Sasa wamehamia upande wa pili michango yao inaonekana kama ni kutimiza wajibu tu. Kumbe ule weledi tuliokuwa tunauona ulitokana na chama chao cha wakati ule.

Amandla...
 
Back
Top Bottom