Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
Hivi kwanini hamtaki kukubali kwamba JPM ameshakufa na zama zake zimekwisha. Tatizo lenu mliwekeza kumshambulia mtu badala ya mifumo ya kitaasisi. Sasa mliekua mnashambulia ameondoka na sasa yupo mtu mwingine, mnashindwa pa kuelekeza lawama zenu mnabaki kuhangaika na mzimu wake.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Anavuna alichopanda.
 
Back
Top Bottom