Sasa nimeelewa siri ya utajiri wa Ridhiwan Kikwete

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,508
37,403
Prince Rizwan Kikwete kamaliza chuo mwaka 2005,hata miaka kumi bado ila kila mtu anamtambua kama bilionea kijana.

Kwa wasiomjua huyu mwana mfalme wakati yupo pale mlimani akisomea sheria hakuwa na uwezo sana sifa zimwendee Benno Malisa ambaye ndie aliyemsaidia sana kimasomo pamoja na mama Asha Rose Migiro yule aliyefukuzwa UN na Ban Ki Moon , alikuwa mwalimu wake na mwangalizi wake sijui niiteje.

Beno Malisa huyu mangi alikuwa amejipenyeza kwenye familia ya mfalme mpaka akawa bosi UVCCM ila wakaja kutibuana na prince mara akaamia kambia ya Lowassa ambako amekufa kisiasa la sivyo angekuwa mkuu wa wilaya hivi tunavyoongea pole zake.

Prince alikwenda kufanya field attachment kwenye kampuni ya IMMA and company advocates ambayo miongoni mwa wanahisa wake ni Masha aliyepata kuwa waziri wa mambo ya ndani na jaji Aloysius Mujulizi ambaye naye kalamba kamgao ka ESCROW.

Miaka yote tunajiuliza huyu dogo huu utajiri kautoa wapi na uzuri huyu prince mara zote amekuwa akikana kuwa sio tajiri sasa nimeamini kwani tajiri tumeshamjua ni yule aliyewatuma watu kwenda stanbic na viroba ,mabox na rumbesa.
 
Prince Rizwan Kikwete kamaliza chuo mwaka 2005,hata miaka kumi bado ila kila mtu anamtambua kama bilionea kijana

,kwa wsiomjua huyu mwana mfalme wakati yupo pale mlimani akisomea sheria hakuwa na uwezo sana sifa zimwendee Benno Malisa ambaye ndie aliyemsaidia sana kimasomo pamoja na mama Asha Rose Migiro yule aliyefukuzwa UN na ban ki moon , alikuwa mwalimu wake na mwangalizi wake sijui niiteje,

Beno Malisa huyu mangi alikuwa amejipenyeza kwenye familia ya mfalme mpaka akawa bosi uvccm ila wakaja kutibuana na prince mara akaamia kambia ya lowassa ambako amekufa kisiasa la sivyo angekuwa mkuu wa wilaya hivi tunavyoongea pole zake,

Prince alkwenda kufanya field attachment kwenye kampuni ya IMMMA and company advocates ambayo miongoni mwa wana hisa wake ni masha aliyepata kuwa waziri wa mambo ya ndani na jaji Aloysius Mujulizi ambaye naye kalamba kamgao ka escrow,

Miaka yote tunajiuliza huyu dogo huu utajiri kautoa wapi na uzuri huyu prince mara zote amekuwa akikana kuwa sio tajiri sasa nimeamini kwani tajiri tumeshamjua ni yule aliyewatuma watu kwenda stanbic na viroba ,mabox na rumbesa

Mbona mimi namtambua kuwa ni Mbunge Mzalendo wa Chalinze?

Hili la ubilionea mbona silijui? Acha kutulisha maneno. Wengine hatuamini hizi porojo zenu!
 
Mbona mimi namtambua kuwa ni Mbunge Mzalendo wa Chalinze?

Hili la ubilionea mbona silijui? Acha kutulisha maneno. Wengine hatuamini hizi porojo zenu!
kama hujui shauri yako habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom