Sasa nimeelewa kwanini Bank nyingine huajiri Warembo vitengo fulani... Hatari sana kwetu!

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Hii benki nimekuwa nikipitishia vijihela vyangu mara nyingi sisi wengine bahati mbaya tunalipwa mshahara kwa pesa ya Trump

Yaani namaanisha USD ili iturahisishie utoaji maana ndani ya masaa 24 tu unaweza kuambiwa unahitajika canada, dubai au sweden n.k

Basi kwa kuzingatia mambo yao, hawa jamaa wamenipa mhudumu maalumu ninapotaka kutoa pesa dada mmoja hatari sana mrembo hasa.

Huyu dada sasa kama wiki hivi ananishauri nichukue mkopo angalau wa bilioni moja niwekeze,ananambia na biashara kadhaa anazoona zinaweza lipa sijajua kama ni sehemu ya kazi yake au vipi.

Jana ndo kaniuliza kama nina ratiba imebana leo jumamosi ,bahati nzuri nilirudi juzi toka Marekani kwa hiyo nipo nipo wikiendi hii mpaka wiki ijayo ntakapoenda Saud Arabia nikamwambia nipo tu.

Ndo kunialika chakula cha usiku hotelini moja 5stars katikati ya jiji, na huyu dada alivyo hata akikwambia umpeleke yeye dinner paris ufaransa au Italy akale pizza za ukweli unampeleka tu huwezi bisha.

Ni mzuri na hata alipata bahati ya kupata akili, anashuka kiingereza vizuri kabisa acha sisi mtaani tunaongea vingereza vya Marekani isipokuwa tunapokuwa kwenye mikutano au mikutano maalumu ndo hapo tunatumia najua wenzangu wananielewa.

Huyu dada anaonekana amepania nichukue kamkopo angalau ka Bilioni moja ila anasema nikitaka hata 2 naweza pata ashaona nina mzunguko mzuri wa hela katika account yangu mjanja sana

Hapo ndo nikagundua Kuna Benki wajanja sana wanaajiri watu flani kwa malengo,nikasema ngoja tuu niende kuonana naye,mtu hakatai wito anakataa alichoitiwa ukizingatia hiyo hoteli mi ni mwenyeji sana nadhani haina shida

Hivi mnajua kuna sehemu hawakuajiri kama hauna muonekano mzuri au mrembo hizo huwa sifa za kujificha. Na nimeona hasa benki flani flani mjini ukienda ofisini unaweza jikuta unazungusha kichwa kila kona sababu ya kuona watoto wakali wakipita pita

Wadau tutafuteni pesa, Ukiwa na pesa huwezi lalamika lalamika kuwa umetendwa. Unatendwaji wakati mwanamke mwenyewe unakuwa pia kama umemwajiri maana anapata pesa ambazo hata kazini kwake mshahara wake haufikii.

Nimejaribu sana kuandika zile post za kutendwa,na za kuwa na maisha ya shida nione response watu ndo hupenda hizo... Ndo maana kuna watu hupata shida kuchimba threads zangu.nmeshatoa offer mara kibao kukutana na watu baadhi ambao walikuwa waaminifu kuonana na mimi mpaka sasa ni watatu tu.

Hao ndo wataeleza utamu wa kuwa na pesa kijana ambaye sijafika 40, tafuteni pesa wanawake watawatafuta nyie Sasa shauri yenu mkae kukomaa kutafuta wanawake na hamna pesa.
 
Hii bank nmekuwa nikipitishia vijicent vyangu mara nyingi. Sisi wengine bahati mbaya tunalipwa salary kwa pesa ya Trump. Yaani i mean USD ili iturahisishie utoaji maana ndani ya 24hrs tu unaweza ambiwa unahitajika canada, dubai au sweden n.k

Basi kwa kuzingatia mambo yao hawa jamaa wamenipa mhudumu maalumu napotaka kutoa cash dada mmoja hatari sana... Mrembo hasa.

Huyu dada sasa kama week hivi ananishauri nichukue mkopo angalau wa billion moja niwekeze. Ananambia na biznez kadhaa anazoona zinaweza lipa. Sijajua kama ni sehemu ya kazi yake au vipi.

Jana ndo kaniuliza kama nina ratiba tight leo jumamosi...bahati nzuri nlirudi juz toka UK.so nipo nipo weekend hii mpaka next week ntakapoenda Saud Arabia. So nikamwambia nipo tu.

Ndo kunialika Dinner hotel moja 5stars katikati ya jiji. Na huyu dada alivyo hata akikwambia umpeleke yeye dinner paris ufaransa au Italy akale pizza za ukweli unampeleka tu. Huwez bisha.

Ni mzuri na hata alipata bahati ya kupata akili. Anashuka english nzuri kabisa ya oxford acha sisi mtaani tunaongea english ya US isipokuwa tunapokuwa kwenye mikutano au formal meeting ndo hapo tunatumia RP. Najua wenzangu mnanielewa.

Huyu dada anaonekana amepania nichukue kamkopo angalau ka Billion moja ila anasema nikitaka hata 2 naweza pata ashaona flow of cash katika account yangu... Mjanja sana.

Hapo ndo nikagundua Kuna Banks wajanja sana wanaajiri watu flani kwa malengo. Nikasema anyway ngoja niende onana naye...mtu hakatai wito...anakataa aliloitiwa...ukizingatia hiyo hotel mi ni mwenyeji sana nadhani haina shida.

Hivi mnajua kuna sehemu hawakuajiri kama si good looking? Au beautiful?hizo huwa no hidden sifa. Na nmeona hasa banks flan flan town ukienda ofisin unaweza jikuta unazungusha kichwa kila kona sababu ya kuona watoto wakali wakipita pita...

Wadau tutafuteni pesa. Ukiwa na pesa huwez lalamika lalamika kuwa umetendwa... Unatendwaji wakati mwanamke mwenyewe unakuwa pia kama umemwajiri maana anapata pesa ambazo hata kazini kwake salary yake haifiki.

Nmejaribu sana kuandika zile post za kutendwa,na za kuwa na maisha ya shida nione response watu ndo hupenda hizo... Ndo maana kuna watu hupata shida kuchimba threads zangu.nmeshatoa offer mara kibao to meet sme people ambao walikuwa waaminifu kuonana nami mpaka sasa ni watatu tu.

Hao ndo wataeleza utamu wa kuwa na pesa kijana ambaye sijafika 40. Tafuteni Pesa wanawake watawatafuta nyie. Sasa shauri yenu mkae kukomaa kutafuta wanawake na hamna pesa.

Uwakilishi wako na.majigambo haviendani na image uyayoiweka ya usomi, uwezo na personality, tafuteni hela vijana mtafurahia maisha....
 
Hadithi ya kampuni iliyopo Tz kuweza tumia Bank iliyoyopo Tanzania kulipa local Tanzanians mishahara kwa foreign currency ndio naisikia Leo.. Maana hata kama utatumiwa USD kutoka nje bado bank watakupa hela ya Tz kwa thamani ya Dolla ulizotumiwa.
 
Mkuu naona unatumia njia ndefu sana kuwapata wadada wa JF!
Mbona wenzio hata hawapati shida kiivyo na wanawagegeda ingawa kiugumu ugumu!
Badili utaratibu mkuu maana utakuja kuombwa Vitz wakati hata kuhonga simu ya Tecno huna uwezo huo
 
Ukweli mchungu ni kwamba hakuna mtu mwenye cash flow inayosoma kuweza kukopa bilion moja, apate muda wa kuandika story ndefu JF ya kujigamba,
Wenye hela ya hivyo hawachanganyikiwagi na wadada mpaka kuwaandikia uzi JF, labda za urithi

Britanicca
 
Back
Top Bottom