Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

Bora ukalinde ndoa wanasubiri wajewaseme tulijua SL hawezi kudumu kwa Nitonye. Haswa huyo lawyer ameanda na hati ya madai. Kaba anasubiri adake tonge lako. Lala unono my wifi
hehehe mikwala tu iyo haendi kulala bana hela ya cafe imeisha na Nitonye wenyewe zigo lake la mitumba limeibiwa last wiki mtaji umeathirika, wanabana matumizi.
 
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote. Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.

Unapenda Cheap popularity!!!! Jipe Promo Dorrice uenda ukafanya biashara!!!!
 
Naanza kuwataja.
1. Bakbkey- sikutaki.
2. Polisi- Jipange vizuri naweza kukufikiria.
3. Thickdijayz- unaonekana wewe ni mzee.
4. Kabakabana- ukizidi kunisumbua nitaweka mpaka namba yako ya simu hapa.
5.
6.
7. Nitarudi tena kuwataja wengine.

Sijui kama unaelewa vizuri maana ya PM..watu wengine shida sana, tukiacha kuku-PM nayo ataanza kulalamika..
 
Bora ukalinde ndoa wanasubiri wajewaseme tulijua SL hawezi kudumu kwa Nitonye. Haswa huyo lawyer ameanda na hati ya madai. Kaba anasubiri adake tonge lako. Lala unono my wifi
Wifi nashindwa kulala, yan kila nikifunga macho naiona taswira ya klorokwini...
 
Huu ni ****** sana ..

Watu tuna PM mpaka tuna delete inbox kila siku lakini wala hatufungui midomo yetu ..

Sijui ndo kuringisha ya kwamba unapata PM?
Hakuna atakaye kuamini ukiendelea na huu
mchezo. Kila kitu kimejengwa kuzunguka "TRUST " ..

Solution
1.unaweza ukawa PM na kuwaambia waache.
2. Unaweza kuwa block
3.Tuma PM kwa mods uwaeleze nini kulikoni
 
Mamito utoto mwingi. BTW mzima weye nimekumis sana ujue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom