Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
siku hizi hakuna cha kujuana. Kujuana ni kupeana namba za cm
kumbeee??
siku hizi hakuna cha kujuana. Kujuana ni kupeana namba za cm
heheeh nilikumiss pia, ili kusibitisha hiyo nikipata umod nitahakikisha hela za michango ya JF na wewe unazifurahia.hahahahaha nilikumiss kweli eti anajiPM mwenyewe
Hahahaha! Akitajwa namwacha mbele ya kadamnasi narudi kwa husband wa ukweli cookie, ole wake!..Hapo nitonye atoki. Kuna nyepesi nyepesi zinasema nitonye akikosa wa kumPM anajiPM mwenyewe. Imekula kwako jimama.
Heri mie sijasema
heheeh nilikumiss pia, ili kusibitisha hiyo nikipata umod nitahakikisha hela za michango ya JF na wewe unazifurahia.
Alleluyah!
Mtumie PM kuonyesha msisitizo!dah,ngoja nikupigie promo.
Hahaha! Usikute hata ndo huyu kaja kivingine!
Halaf mbona taarifa nilizonazo mimi kupitia rais wa wabeba maboksi cookie ni -ke tena bonge la mrembo? mnanichanganya sasa.Hahahaha! Akitajwa namwacha mbele ya kadamnasi narudi kwa husband wa ukweli cookie, ole wake!..
Wacha nisepe zangu! Good night my sweet wifi, niagie klorokwini, kabakabana wako hapo nje wanapiga story! Uniote mwaya!Kila siku jipya my wi hebu nenda kamwandalie bro yake hapa hapafai
Fanya fasta manaake na facebook pia wameniomba nikuwe mod wao, niko na bonge la dilemma.dah,ngoja nikupigie promo.
Gudi nite, niote nimemnunulia vocha blaki womanWacha nisepe zangu! Good night my sweet wifi, niagie klorokwini, kabakabana wako hapo nje wanapiga story! Uniote mwaya!
Hahaha! Mie najua ni kakake AshaDii au? Nimepata tena mshituko lol... Usiku mwema!Halaf mbona taarifa nilizonazo mimi kupitia rais wa wabeba maboksi cookie ni -ke tena bonge la mrembo? mnanichanganya sasa.
Cookie i apolojaizi in advansi kama ban apigwe rais wa wabeba maboksi kwa uzushi. Tusemeni amen.
Sitaki, ndoto gani hizo za kutiana wivu???Gudi nite, niote nimemnunulia vocha blaki woman
Mtumie PM kuonyesha msisitizo!
Dorice... Dorice... Dorice jina zuri kuliko matendo. Haya akutongoze nani wewe kiburushuti?? Umebandamana kama bao lakusukumia chapati.
Fanya fasta manaake na facebook pia wameniomba nikuwe mod wao, niko na bonge la dilemma.
Gudi nite, niote nimemnunulia vocha blaki woman
Wacha nisepe zangu! Good night my sweet wifi, niagie klorokwini, kabakabana wako hapo nje wanapiga story! Uniote mwaya!