Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

mi sikutumii pm, nakutongoza hapa hapa hadharani. Dorrice moyo wangu umekudondokea, hasa nikisoma post zako ndio nazidi kuchanganyikiwa, unaonekana u mrembo sana bibie. Tafadhali naomba unionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. Nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nabaki nikikuota wewe. Moyo wangu unateketea Dorrice kwa ajili yako.......(kama naelekea elekea kukushawishi/kukuvutia niambie niende ukurasa wa pili)
hahahaa eti ukisonga ugali unamwona kwenye mwiko!
 
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote. Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.

Idadi ya wanawake waliochanganyikiwa inaongezeka humu JF.
Hakuna anayelifanyia research hili tatizo?
 
JF bana! uskute pengine mleta mada ni njemba tena ina kesi ya kubaka mbuzi wa jirani, lakini inatuzingua sisi tu.
 
Hahahaha! Sasa anakutaka anakujua??..au vile ameona waitwa polisi akajua uko kitengo cha usalama barabarani akaona atest zali... lol, afu hapa anajishaua eti mwamtongoza, jf raha kweli jamani!

siku hizi hakuna cha kujuana. Kujuana ni kupeana namba za cm
 
Lawyer pole kwa mshtuko ila hujatajwa kipindi cha kwanza, subiri cha pili kianze!
Hapo nitonye atoki. Kuna nyepesi nyepesi zinasema nitonye akikosa wa kumPM anajiPM mwenyewe. Imekula kwako jimama.
Heri mie sijasema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom