Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

@dorice Sio kila ki2 ni lazima useme...? Mbn uliowakubali tng utoto hujaweka majina yao. Hilooooo!
 
Yoyoooooooooo ucnitaje nilikua natania tu c unajua mi na we jamani dori hukumbuki tilivyokua tunacheza .... Dori dori eh dori sabena eh
 
klorokwin umepotea sana,hujambo?na wewe ni mmoja wa wanaomsumbua Dorrice?
Nimefkuuzwa kazi Prishaz kale kakompyuta ka kazini nilikokuwa naingilia JF sku hizi hakapatikani tena na cafe inabidi nipande daladala kuifikia.

heheeh wala sijamsumbua walahi. Mimi hata nikimfata mtu PM ujue naenda kuhubiri injili tu. Aleluyyah!
 
Mjukuu wangu huku sio mahaali pakujitangaza nenda fb,huko utawapata huku yuache na mawazo yetu ya kuijenga nchi kwa njia mbalimbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom