Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Lowasa alibeba tegemeo kubwa la mafisadi wa nchi hii, hawa walikuwa wanaitafuna hii nchi kupita kiasi watu kama Rostam Aziz hili sakata kubwa la ufisadi ulioibuliwa leo la wizi Mafuta unamgusa Rostam Aziz moja kwa moja kwa maana sehemu kubwa ya mafuta hayo ambayo ni wizi yalikuwa ni ya Migodini ambako Rostam ndiyo mmiliki wa Mitambo karibia yote huko Migodini, halafu Mwapachu pia alikuwa na cheo kikubwa sana Acasia Gold unaweza kuona Mwapachu aliingiaje acasia bila mchongo wa Rostamu na Rostamu na wenzake ndiyo waliokuwa wafadhili wakubwa wa fisadi Lowasa!
Kuna sababu kwa nini fisadi Lowasa hivi kribuni alisema kwamba Serikali ya Magufuli inawa attack Wafanyabiashara waliomsaidia kwenye Kampeni sasa na hii leo tunazidi kuunganisha nukta na, Raisi Magufuli siyo mjinga atawaumbua wote na ataidhihirishia Dunia kwamba chadema ni chaka la mafisadi na kwamba Tundu Lisu, Mbowe wote ni mafisadi wakubwa sana, na wameshirikiana na Mafisadi kwenye kuinyonya nchi yetu, muda utaweka wazi kila kitu!