Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Nimefurahia hii JF mpya, kumbe kuna mahali kwenye settings unaweza kuwa ignore wale watu ambao hupendi kujifunza kutoka kwao!
Kutokana na haki ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza na kusikika najua mods hawawezi kuwazuia watu wa kundi au mtazamo fulani kutupia mada zao humu.
Sasa nimejichukulia 'sheria mkononi' na kuwapiga ban wale wanaonadika mada zinazo promote mambo ya kichawi, kishirikina, na mengine kama hayo ambayo ni machukizo machoni kwangu.
Nimefurahia sana kwa kupiga hatua moja ya kuchuchukua hatua ya kuwatumbua watoa mada za upotoshaji na zisizo na manufaa kwa jamii...