Sasa nimeamini ile Kauli ya mh Lowassa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
wadau,
ukweli nikwamba kauli aliyo zungumza mh lowassa kipndi anaachia uwaziri,lowassa alisema nanukuu''kwa mtu kama mimi ninaye fanyiwa kama haya nachelea kusema kwa mtu wa kawaida itakuwaje?kwa mtindo huu tukianza kunyosheana kidole hakuna mwanasiasa atakaye simama''mwisho wa kunukuu!kipindi lowassa anaachia ngazi walishangilia sna wabunge!hii ni waz kabsa aliona mbali,na haya yanayotokea leo bungeni ndiyo aliyokuwa akiyazungumzia!!
 
To hell with your .... Kwani Tz imekwisha watu wenye uwezo? Ni mpaka umtafute mzee anay....ngojea. Alisema Nape Mnauye na hajawahi kuomba msamaha. Mwacheni Mh. Rais achague mwenyewe. Hata akimchagua Kapuya, Juma Athuman sawa tu.
 
wadau,
ukweli nikwamba kauli aliyo zungumza mh lowassa kipndi anaachia uwaziri,lowassa alisema nanukuu''kwa mtu kama mimi ninaye fanyiwa kama haya nachelea kusema kwa mtu wa kawaida itakuwaje?kwa mtindo huu tukianza kunyosheana kidole hakuna mwanasiasa atakaye simama''mwisho wa kunukuu!kipindi lowassa anaachia ngazi walishangilia sna wabunge!hii ni waz kabsa aliona mbali,na haya yanayotokea leo bungeni ndiyo aliyokuwa akiyazungumzia!!

yote yana mwisho kagasheki
 
Kwa hiyo?

Lowassa ameshapitwa na kalenda,tunataka mtu mwenye uwezo wa kushiriki hata Kilimanjaro marathon mfano..mwinyi
 
wadau,
ukweli nikwamba kauli aliyo zungumza mh lowassa kipndi anaachia uwaziri,lowassa alisema nanukuu''kwa mtu kama mimi ninaye fanyiwa kama haya nachelea kusema kwa mtu wa kawaida itakuwaje?kwa mtindo huu tukianza kunyosheana kidole hakuna mwanasiasa atakaye simama''mwisho wa kunukuu!kipindi lowassa anaachia ngazi walishangilia sna wabunge!hii ni waz kabsa aliona mbali,na haya yanayotokea leo bungeni ndiyo aliyokuwa akiyazungumzia!!
duuu!!! mzee wa fursa kama kweli basi aliona mbali sana , mbona nasikia haka kamchezo baadhi ya wabunge walikapanga kakumuweka kitimoto kagasheki na ndiyo maana mama anna kilango anataka majina ya wabunge waliotuhumiwa katika ujangiri watajwe ili na wao waumbuliwe , ila bungeni wengi ni wanafiki sana , taarifa ni kuwa wabunge ni majangiri mazuri sana kwa maana ya wengi wao lakini mpaka kikao kinaisha hakuna taarifa za kuwataja , ningependa siku moja kaggasheski awataje
 
Back
Top Bottom