OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
wadau,
ukweli nikwamba kauli aliyo zungumza mh lowassa kipndi anaachia uwaziri,lowassa alisema nanukuu''kwa mtu kama mimi ninaye fanyiwa kama haya nachelea kusema kwa mtu wa kawaida itakuwaje?kwa mtindo huu tukianza kunyosheana kidole hakuna mwanasiasa atakaye simama''mwisho wa kunukuu!kipindi lowassa anaachia ngazi walishangilia sna wabunge!hii ni waz kabsa aliona mbali,na haya yanayotokea leo bungeni ndiyo aliyokuwa akiyazungumzia!!