sasa nikubali kuachika/kutemeka,la!! kumbe nilikua mwalimu wa mapenzi

Umekaa na tunda limeiva utaki kula umelitumbulia mimacho tu..

Kwatarifa yako wewe ulimfundisha kupenda na sio mapenzi,...sasa fahamu kuna anaemfundisha mapenzi now..

Sijui hzo akili za kukaa Na mchumba miaka bila kugegeda mnazitoa wapi

Young kilimanjaro
 
Sasa kwanini unapaparika ikiwa unajua baadaye anarudi?

Now hiyo isikufanye uone anakupenda. Ni kawaida abused partners kurejea kwa abusers wao some sort of a stockholm syndrome.
kabisa castr ila huyu siku muabuse hata, ila alikua addicted kwa mapenzi yangu tu sasa naona anataka kujua how it feel to fly .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekaa na tunda limeiva utaki kula umelitumbulia mimacho tu..

Kwatarifa yako wewe ulimfundisha kupenda na sio mapenzi,...sasa fahamu kuna anaemfundisha mapenzi now..

Sijui hzo akili za kukaa Na mchumba miaka bila kugegeda mnazitoa wapi

Young kilimanjaro
i admit my total foolish na hapo mwanzo nilikua na kila njia za kumla ila nikapuuzia nikaleta udini mwingi,
kwa hakika nimemfundisha kupenda na si mapenzi

kipi kifanyike mkuu kama drafti naelekea kushindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka kuwa na mwenzako mnatumia mwanamke mmoja komaa naye tu, demu akisha fikia hatua yakukutamkia maneno hayo ujue kuna jambo nyuma ya pazia hataki tu kukwambia ukweli
 
Akili yangu inaniambia ulikua unampiga huyo msichana.

Inaniambia ulikua abuser wake.

Inaniambia ulikua mkorofi kwake.

Hiyo ni kwasababu abuser wengi hua hawaamini kama kuna kuachwa. Wanaamini wao ndiyo wanatakiwa waseme kama huu uhusiano unaisha au upo.

Na huyo binti kufanya uamuzi yeye na siyo wewe imekuumiza, imekufanya ujione huna mamlaka juu yake. Your manipulation works no more.
Nailed it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti kapevuka wewe unafuga tu, amenunua sim amepata stori za mapenzi na kunyegeka wewe unafuga tu. Imefika wakati wa yeye kutafuta wapiga mbupu na sio wewe na mambo yako ya ufugaji, hajaona tofauti yako na kaka zake, dada zake na rafiki zake, mwache akatafute mpenzi anaemfaa.

Umeniudhi sana, yaani ulianza nako kana 13 yrs mpaka Leo ana 17 yrs unamfuga tu!!!. Na yeye bikra inamtesa anataka itolewe afu mtoaji ndo wewe!!!. Achana nae na usimfuatilie tena bwege wewe.

Barafu la moto
 
Hahaaa broooo umenena vyema but now she is 21 ila kweli nimekosea hapo
 
We jamaa n kiande kweli , Huyo kashakatwa utepe ndo maana kashaanza kukuona bwege

From profile picture to proper future
 
Ukiachwa achika ndugu, let her go man.

Ukisubiri liive wenzio wanakula na chumvi.
 
Back
Top Bottom