Sasa ni zamu ya mgombea URAIS MWENYE MVI ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ni zamu ya mgombea URAIS MWENYE MVI ccm.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Feb 6, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Nasema hivyo kwa sababu,mvi ni dalili ya ukomavu kiumri,na hivyo atatuongoza kwa kutumia busara na hekima zaidi bila tamaa, ya kujilimbikizia mali kwani kwa umri husika basi hatakuwa na haja nazo saana kwani atamalizia maisha yake kwa hii pensheni nono ya 80% ya mshahara wa rais anayekuwepo madarakani anaolipwa.

  Ilianza kwa Baba wa taifa[mwenye mvi] na sote ni mashahidi wa jinsi huyu mzee tunavyomlilia mpaka leo.
  Ikafuatia mzee ruksa,[mwenye mvi].ingawa alikuwa na yake mapungufu,lakini sina shaka tunaendelea kumkumbuka kwa Busara na hekima zake na jinsi alivyosimamia mageuzi makubwa kiuchumi.
  Akafuatia Mr clean[asiye na mvi],soote ni mashahidi wa yale yaliyotendeka katika kipindi chake cha uongozi,M-Bank,Kagoda,Kiwira coal kwa uchache, na ubalali mwingi ulio na unaoendelea kututesa watanzania kwa maisha magumu,.
  Amefuatia Baba Riz-one [asiye na mvi] sitaki kuyasema zaidi,ila wote nio mashahidi wa kinachoendelea kama Rich-mondl,Dowans na meeengi myaonayo wenyewe.

  Sasa tuanze kufikiria tena watu kama, Mzee Salim ahmed salim,mzee Samwel sitta,na wengineo wengi ambao mnaweza kuwaona ni wasafi na wanafaa kutuokoa hapa tulipo kwa uongozi wenye busara zaidi.
  INANIUMA SANA.....
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Analysis nyingine zinafaa kwenye kilabu cha komoni, siyo kwa great thinkers
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Pombe bila kula
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  luhanjo ana mimvi hadi nyusi,viroba noma
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Una maanisha Slaa?
   
 6. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Kwani Dr Slaa yuko magamba, vipi tena FF ??
   
 7. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  [QuUOTE=FaizaFoxy;3280141]Una maanisha Slaa?[/QUOTE]

  Ndio mkuu,pia niliwataka magamba walipuke kidogo.
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Naona wazi mnaishushia hadhi JF yetu kwa tamaa yenu ya fedha za hongo kutoka kwa FISADI LOWASA!
   
 9. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Magamba nilitaka kuona kama wanasoma alama za nyakati.kwani mzee salim hawezi gombea maana alizichoka siasa za majitaka,Sitta hawezi pitishwa na chama chake.
  Slaa pekee ndie atakayekuwaa full mvi 2015
   
 10. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Luhanjo hakuwa mwanasiasa bali mtendaji muajiriwa.ndio maana alipowachezea wanasiasa wakamfundisha siasa za nji hii.
   
 11. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Hata kwenye komoni huwa kuna great thinkers,tatizo huwa ni la kiuchumi na kiutamaduni zaidi ambalo huwafanya wajikute huko.
  Tatizo lako ni uvivu wa kufikiri ili uupate usababishi wa kauli yangu.Ninajua kwamba mzee salim hawezi tena kujiingiza katika siasa za ccm kwani ni majeruhi wa mtandao.
  Mzee stta,hawezi pitishwa na chama chake kwani tayari, ana bifu na wanamtandao wenzake.
  Ni mzee slaa pekee atakayekuwa na full mvi 2015 je upo hapo mkuu.
   
 12. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Umekosea mkuu,Lowassa tayari si msafi tena.namaanisha atakayekuwa full mvi 2015,ni mzalendo wa ukweli mzee Wilbload slaa tu.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  naona Lowassa anapigiwa chapuo ni kama ameunda timu ya vijana anawalipa kwa kumpamba JF
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mwaka 2015 Lowassa atakuwa anapaka dawa ya kanta kichwani mvi zitakuwa hakuna tutaona nywele nyeusi, utabiri wa Nabii Joshua.
   
 15. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni EL hapo
   
 16. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Huyu tayari si msafi n Rich-mondl tayari amechafuka
  Mheshimiwa saana Dk wilbroad Slaa ndie atakuwa full mvi 2015
   
 17. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Dk wilbroad Slaa for 2015 president.
   
 18. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ofcoz mvi ni ukomavu wa kila kitu ila wizi wa rasilimali sina uhakika!!teh teh teh.......
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mgombea mwenye mvi akimaliza zamu yake inakuja zamu ya mgombea asiyenyoa 'mapwiti' yake, naye tumjaribu.
   
 20. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  afu sikupendi wewe kwa kushabikia magamba! Afu inawezekana mwigula ameshafanya yale mambo yake kwako!
   
Loading...