Sasa ni zamu ya masoko kuungua, Soko la Katoro laungua moto

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,449
17,148
Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.

Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.

Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.

Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni nini?
 
#MOTO. Maduka na Baadhi ya vibanda vya wajasiriamali katika Soko la Katoro mji mdogo wa Katoro mkoani Geita yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa.

Serkali ya Geita na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na uchunguzi kubaini chanzo hasa cha moto huo.
20211120_110825.jpg
 
View attachment 2017215

Kuna hatari watu wakaunganishwa na Adamoo hapo.

Kwani Mchina wa mboga mboga hajafanywa kuwa mshitakiwa #5?
 
Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.

Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.

Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.

Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni nini?

Kama namwona Kingai akipiga jaramba kukusanya magaidi 😁😁
 
Inawezekanaje habari kubwa kama hii unaileta kimbea?

Kaa utulie uandike kwa kirefu ili watu tujue chanzo, mwenendo na madhara ya moto huo.
 
Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.

Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.

Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.

Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni nini?
Linalofata Ni lipi tujiandae.
 
Hapa serikali kuna mkono wa mtu, na tunakoelekea nchi itaingia machafuko naona kwa mbali maana naona kabsa kama ingekua masoko tu isingekua shida. Ila naona machinga nao wanavurugwa serikali mjitafakali kwa hili. Lasivyo the fire upon you
 
Back
Top Bottom