Sasa ni zama za SIASAPESA,wanyonge basi tena

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,812
2,000
Haina ulazima sana wa anaejitambua kubaki akilili mfupa wa miaka sita kwa kisingizia kuwa atapata nyama au eti avumilie tu labda wanaweza kumpa gogo la buchani apunguze maumivu.
wanyonge ndio wanaobebeshwa zigo la taka la kutumikishwa kama daraja la kuwapitishia wanasiasa kufikia malengo huku wao wakisahulika hata kama wapo walopoteza maisha yao.
tukubali tu,sasa SIASAPESA yani SIASA NI PESA,ni dili la mjini,wajanja wala,washamba waliwa.
poa,wasio ijua biashara hii wanazidi kuumia na wanaoijua wanazidi faidika kwa mbinu wanazozijua wao.
wao wanaouza SERA na ITIKADI ZAO.
WAKATI WAO WAKIFAIDIKA,WENGINE WANAKULA MAUMIVU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom