Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Ili sasa elimu yetu ieleweke, ikue, na izaliashe wataalam ambao nchi yetu na nchi zingine zitawategemea,
Waziri wetu wa Elimu Mh. Ndalichako amelipatia ufumbuzi suala ambalo limekuwa tatizo kwa muda mrefu sasa yampasa kukaa rasmi na bunge, kuweka mswaada mezani kuhusu mfumo mpya wa elimu ili mfumo huo uwe sehemu ya sheria ambazo hatutegemei kubadilika kila kukicha hasa pale anapotokea waziri wa wizara hiyo kubadilishwa, au muda wake kufika kikomo ni wazi sasa kwa mfumo wa sasa elimu ya nchi yetu Tanzania itaheshimika, ndani na nje ya Tanzania.
Kama bunge litapendezwa, badala ya DD/CE iwe CD/BE ili mtu kudahiliwa chuo kikuu.
Mungu amsaidie. View attachment 367442