Sasa ni wakati wa Mh. Ndalichako, Waziri wa Elimu kuliomba bunge limsaidie

Vasco wa degamer

Senior Member
Feb 21, 2016
194
250
Ili sasa elimu yetu ieleweke, ikue, na izaliashe wataalam ambao nchi yetu na nchi zingine zitawategemea,

Waziri wetu wa Elimu Mh. Ndalichako amelipatia ufumbuzi suala ambalo limekuwa tatizo kwa muda mrefu sasa yampasa kukaa rasmi na bunge, kuweka mswaada mezani kuhusu mfumo mpya wa elimu ili mfumo huo uwe sehemu ya sheria ambazo hatutegemei kubadilika kila kukicha hasa pale anapotokea waziri wa wizara hiyo kubadilishwa, au muda wake kufika kikomo ni wazi sasa kwa mfumo wa sasa elimu ya nchi yetu Tanzania itaheshimika, ndani na nje ya Tanzania.

Kama bunge litapendezwa, badala ya DD/CE iwe CD/BE ili mtu kudahiliwa chuo kikuu.

Mungu amsaidie. View attachment 367442
 

Vasco wa degamer

Senior Member
Feb 21, 2016
194
250
Wapo wanaojielewa wenye elimu ya kuwatosha. Nadhani wakati wanalijadiri wakumbuke kuwapuuza dalasa la saba na wapuuzi wengine wachache.
 

Shebbydo

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
1,174
2,000
Ili sasa elimu yetu ieleweke, ikue, na izaliashe wataalam ambao nchi yetu na nchi zingine zitawategemea, Waziri wetu wa Elimu Mh. Ndalichako amelipatia ufumbuzi suala ambalo limekuwa tatizo kwa muda mrefu sasa yampasa kukaa rasmi na bunge, kuweka mswaada mezani kuhusu mfumo mpya wa elimu ili mfumo huo uwe sehemu ya sheria ambazo hatutegemei kubadilika kila kukicha hasa pale anapotokea waziri wa wizara hiyo kubadilishwa, au muda wake kufika kikomo ni wazi sasa kwa mfumo wa sasa elimu ya nchi yetu Tanzania itaheshimika, ndani na nje ya Tanzania. Kama bunge litapendezwa, badala ya DD/CE iwe CD/BE ili mtu kudahiliwa chuo kikuu.

Mungu amsaidie. View attachment 367442
Hata ukiwa na AAA huwezi lingana na mwenye DDD wa nchi za dunia ya kwanza au ya pili. Vipi kuhusu maabara, vitabu vya kiada za ziada tunavyo vya kutosha? Au unatishwa na A za kukesha kwa solve past papers? Tanzanian Education is long match.
 

Rugaiyulula

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,523
2,000
Wapo wanaojielewa wenye elimu ya kuwatosha. Nadhani wakati wanalijadiri wakumbuke kuwapuuza dalasa la saba na wapuuzi wengine wachache.

Tatizo ni mfumo wa Ndiyooooooooooohhhh na nani kamleta bungeni au mkubwa wa wakati huo anataka nini, maana mara nyingi tumeshuhudia kuwa hawana muda / utaratibu wa ku-analyze mambo kitaaluma badala ya kisiasa zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom