Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

Itapendeza kama jeshi la polisi lingeanza kutueleza kama askari wake waliopangwa kulinda eneo la tukio(makazi ya viongozi) siku ya tukio wamekwishakamatwa kwa uzembe au hata kuhojiwa,pia waeleze CCTV kamera zimetowekaje eneo la tukio kwani wao ndio wanaolinda eneo hilo Shaidi wa kwanza kuhojiwa anapaswa kuwa jeshi la polisi sio mhanga wa tukio
 
Upelelezi hauanikwi
 
Kazi za jeshi la polisi hazifanywi kizembe Namna hiyo
 
Akihojiwa inabaki kua ni ndani ya jeshi la polisi, si kwamba jeshi la polisi litaita vyombo vya Habari kueleza kilichojiri katika mahojiano
Na hata wakitangaza kuwa wale walinzi wamekamatwa mahojiano yatabaki ni siri za kiupelelezi hawatoita vyombo vya habaribwaseme wamewahoji nn acha kutulisha matango pori ww
 
Kazi za jeshi la polisi hazifanywi kizembe Namna hiyo
Kama hazifanywi kizembe zinafanywa kwa weredi kwa nn wanasema mpaka dreva ahojiwe ndipo wamjue muuaji je dreva angekufa ina maana ungekuwa mwisho wa upelelezi? Na jalada la mauaji lingefungwa? Huo uweredi ndio wauoneshe kwa vitendo in absence of driver wauaji wapatikane sio tu uweredi wa maneno ya mdomo.
 
Na hata wakitangaza kuwa wale walinzi wamekamatwa mahojiano yatabaki ni siri za kiupelelezi hawatoita vyombo vya habaribwaseme wamewahoji nn acha kutulisha matango pori ww
Jeshi halifanyi kazi kama unavyowaza
 
Kama hazifanywi kizembe zinafanywa kwa weredi kwa nn wanasema mpaka dreva ahojiwe ndipo wamjue muuaji je dreva angekufa ina maana ungekuwa mwisho wa upelelezi? Na jalada la mauaji lingefungwa? Huo uweredi ndio wauoneshe in absence of driver wauaji wapatikane sio tu uweredi wa maneno ya mdomo.
Elewa kwanza Nini kimeandikwa ndo uchangie, nmesema asaidie mchakato wa Upelelezi, tatizo lenu mihemuko
 
Back
Top Bottom