Sasa ni wakati muafaka JPM kujitokeza na kutoa majibu ya kukonga nyoyo za wanajangwani

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
Katika baadhi ya maeneo watu kadhaa waliamua kuvunja nyumba zao wenyewe, waking’oa mabati, madirisha na milango, lakini wengine waliamua kuwasindikiza waliokuwa wakiweka alama kwa kuwaimbia nyimbo za kumsifu Rais Magufuli.

“Magufuli selema, selema selema, acha waisome namba ee Magufuli mbele kwa mbele amejipanga. Mwaka huu wataisoma,” waliimba watu hao wakichombezana wao kwa wao baada ya nyumba zao kuwekewa alama hiyo.

Source: Mwananchi online
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom