Sasa ni wakati muafaka ''Brothe K'' Uchukue nafasi ya '' Mzee Majuto''

1.Joti
2.Joti
3.Joti
4.Joti
5.Idris Sultan
6.Anko Zumo
7.Oka Martin
8.Jaymondy



Wa 9 na 10 nitawaorodhesha nikikumbuka, Brothet k ni ile movie na King Majuto tu ndio nilimuona mchekeshaji ila Futuhi amna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Idris anachekesha nini jamani.... huyu na Mc Pilipili sijawahi kuwaelewa kabisa

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Ila kiukweli Joti anachekesha uongo mbaya halafu ndio afatie Brother K.



Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Nafasi ya majuto inaweza kuchukuliwa na mtu ambae asiegizi sauti ya aina yeyote na pia awe na kipaji cha kuzaliwa.Mfano Mboto haigizi sauti ya mtu yeyote ni naturally hatumii nguvu..No funny sound effect hao watapita
 
Wale wachekeshaji wa marekani na nchi za dunia ya kwanza hawavaagi rafu kama baadhi ya comedian wetu, nafikiri huyu nae avae smart tu, maneno na matendo ndio yalenge kuchekesha. Sio mavazi machafu chafu na milapa mikuuuuubwaaa
 
Mkuu Brother K ninamkubali lakini Joti mmmh ni Habari nyingine aiseee... Halafu Joti kila siku yuko kwenye Kiwango, kwa wale wanaomfahamu Joti toka kipindi kile wanaigiza kwenye tamthilia na mpoki ITV, NAFIKIRI wanaelewa nini namaanisha.
Ingia Youtube tafuta JOTI TV utaelewa maanisha nini!
JOTI anabadilika katika kila character kiufupi hatabiriki!!!
Ni kwel jot yupo vizur , Seema hua anakera anapoigiza Kama mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Joti

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazima tv na unamuona alivyovaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom