Sasa ni rasmi Rwanda inatawala baadhi ya maeneo ya Ngara iliyoko Kagera

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Hii ni Hatari Ngara iliyoko mpakani na Rwanda SEHEMU YAKE IMEMEGWA NA KUUZWA RWANDA, WANANCHI WANATAKIWA KUONDOKA
 
mzee naomba sana usome vizuri hiyo thread na kurekebisha spelling,lasimi ni nini?thread yako ni nzuri lakini rekebisha kwanza
 
ni wakati kwa serikali kuelekeza nguvu kwenye mipaka siyo kumsafirisha mbowe dar kwenda arusha au kuuwa watanzania
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkoa wa kagera upo nyuma kitanzania bali ni tegemeo kubwa la uchumi katika nchi za rwanda,burundi ,ug na kenya. Nadhanini tanzania ni dsm mpaka dom
 
Ni ubaguzi tu na ujinga wa viongozi wetu...kama umewahi fika kagera basi haina tofauti na Uganda,mkoa una rasimali nyingi sana ikiwemo udongo mzuri sana,una maji mengi sana na umekaa strategic position lakini basi tu

Viongozi wetu waliuacha makusudi eti ukiuendeleza utakuwa umewafavour wahaya lakini sasa angalia unavyozinufaisha nchi jirani kuliko hapa kwetu,ukitaka kulijua hili nenda uangalie biashara inavyofanyika kati ya mkoa huo na hzo nchi hasahasa Ug na Rwa,rasilimali zote za mkoa wa kagera zinaishia nje na Tanzania inabaki masikini...anywy hao ndo viongozi wetu na miaka yetu 50 ya Uhuru!
 
Back
Top Bottom