SASA NI RASMI KABISA KUWA ACT -WAZALENDO NI "CCM B"

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
250
Wadau hatuna haja ya kutumia akili sana kufikiri.Walioteuliwa Na Mh.Rais Magufuli , Bw.Kitila Mkumbo Na Bi Anna wote nizao la Chadema.Wote hawa walitaka uongozi pamoja Na Mtendaji Mkuu wa chama Mh.Zitto ili waweze kuiangamiza Chadema Kwa kupeleka taarifa za Chadema CCM .Chadema ikawafukuza Na wote wamekutana Na kuanzisha ACT .Dhambi ya Usaliti Mungu kawaonyesha Watanzania Kwa Mh.Rais Magufuli kuwapa nafasi katika Serikali yake licha ya Kiapo alichokitoa kuwa Hakuna mpinzani ndani ya Serikali yake.Leo tunawaona
1.Augustino Mrema-Mwenyekiti wa Palole
2.Kitila Mkumbo-Katibu Mkuu Maji
3.Bi Anna - Mkuu wa Mkoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom