Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Leo nimejiuliza mambo maswali mengi kuhusu ili. Nimejiuliza tena kua kweli watanzania asa wasomi,wanasheria na wana harakati kua bado wanatuaminisha kua CCM ni Chama cha Siasa?
Msajiri wa vyama vya Siasa bila shaka yeye si mtu wa kusimamia haki na utawala wa sheria. Kuna matokeo mengi tumeyaona sana,vyombo vya ulinzi asa polisi na jeshi vikishiriki bila woga harakati za Siasa za CCM. Hii ni kinyume na katiba yetu ibara ya 147(3) pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2001. Lakini pia sheria ya vyama vya siasa nchini imekataza vyombo vya usalama kumika na chama pia chama cha Siasa kutumia vyombo vya ulinzi.
Yote yametokea bila kukemea . Apa ndo tumefikia ..sasa iweje CCM ibaki kama chama cha Siasa nasi jeshi ?